Uzi wa vyakula tu

4dd8ff935fc7bf10a2f4b2d1c83c673c.jpg
 
Mkuu yani huwa nikiaona Id yako hii ya HARUFU na yule jamaa anajiita washawasha mie huwa ni kicheko hata kama sikucheka wiki nzima huwa nasitukia nimecheka
Karibu sana Kiongozi.

Basi kwangu ni furaha tele ninapoona Ndugu yangu anaongeza Uzima kwa kicheko, kitu ambacho ni Muhimu sana.

Kiongozi, endelea kuvunjika Mbavu.

JF ipo kwa ajili ya Watu, na Watu wenyewe ndio Mimi na Wewe.

Na Watu wenyewe ndio Sisi.

Kiongozi,

Endelea kupata Burudani.

Maisha yenyewe haya ni mafupi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom