monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,309
Sawa
Hiyo miti inapatikana popote ikiwa imechakatwa lakini uwe unaijua vizuri au muuzaji awe mwaminifu maana anaweza kukuuzia chochote ilimradi apate hela.Aisee hapa nimeshindwa hata kulala bawasiri inataka kuniua!
Na hiyo miti ndo inapatikana huko mbali!
Kama kuna mtu ana afya ya kusuasua, mwili uliokondeana, chukua matunda ya muegeya yakaushe kisha saga na tumie kama lishe kila siku kijiko kimoja cha chakula kwenye uji halafu njoo na majibu yetu hapa mkuu.
Iko mimea mingi ya Tiba Mbadala nitakuwa nachangia. Kwa kuanzia ni Mstafeli. Msikilize huyo mtaalamu
View attachment 2271368
Nitajaribu hiiKumaliza au kusimamisha tatizo hili na pengine ukucha mpya utaanza kutoka chukua vinegar kiasi changanya na bicarbonate katika maji moto na safishia upalipo hathiriwa utakuja kushukuru hapa
Nilipona kabisa maumivu ya tumbo baada ya kutumia hii, yani ile unakunywa unaanza kuhisi mabadiriko hapohapo.Jina: Msongwi au songwe in Kihehe(iringa)
Ugonjwa : typhoid au homa ya matumbo
Maelekezo :chemsha majani laini ya mti huu then kunywa.
Dozi: kikombe cha chai. View attachment 2271380
Upi huo mkuu?Kama haujataja mmea pendwa basi huu Uzi ni useless
Hayo majani sio machungu sheikheRed jetropha (kiswahili mibono) hupandwa sana makaa hupandwa sana makaburini majani yake yakikamuliwa vizuri yakinywewa kikombe kidogo cha kahawa asubuhi na jioni imefanikiwa mno huku Afrika magharibi kufifisha na HATIMAYE kuondoa kabisa virus vya ukimwi
Sio machungu ndg ni dawa kwelikweliHayo majani sio machungu sheikhe
mpaka upone then uwe unajipaka mafuta ya nazi unapona niamini mimi nimeponakwa muda gani ? kwa siku mr ngp, kw wiki ngap
huwa wanafanyia sana mila haya uko uchagani, kuna mtu alinambia kama mambo yangu yanagoma nichukuwe jiwe nilinuie kwamba kama mimi ni wa ardhi hii yni ( uchagani bas milango yangu ya mafanikio ifunguke alafu nirushe ktk ayo majani, kiukwel sikufanya ivo niliogopaWachaga wanaita SALLE,au ISALLE/MMEA WA MIPAKA.
:this plant is almost found every where across the continent.it was used to share boundaries,farms or separate ones property from others.our ancestors did a good job by discovering the spiritual uses of this plant.evil spirits,fear this plant to the point that.immediately they see you collecting or bringing this herbs home.they start to move away and out of your life.if you want to break spiritual marriage,this herbs is for you.if you feel your house is being haunted.put this herbs in water and sprinkle it inn around your house or store.you can use this herbs to remove all curses,placed on you if you soak it and bath with it for seven days.witches and wizards fear this herbs very much.if by mistake,someone dies at your hands and the spirit is tormenting u.this herbs and another herbs can be put together to help stop the spirit of the person from tormenting u.u can use this wonderful herbs to separate someone from coming near your partner...