Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

Nipewe maua yangu. Nimesoma huu uzi hadi nimejishangaa how I wrote this masterpiece
Mkuu mimi mwenyewe nimestuka sana niliwezaje kutema hayo madude mazito mazito kwenye huu uzi mpaka nkawa nahisi sio mimi?

Anywau have you changed your mind?
 
Ujue hii thread hatukuwa tunaelewana sababu ili kuichambua akili inabidi uichambue ktk mlengo mmoja mfano mlengo wa kisaikolojia au mlengo wa neuroscience au mengo wa kiroho. Ukichanganya laza ulete utata

Mdio ulichofanya ndugu yangu Da'Vinci na ndicho kilichofanya tusielewane umenipata mkuu?
 
One of the Greatest engeering ni ya kumuumba mwanadamu and its subsidiary beings .Hutaweza kuuelewa mfumo wa jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi unless uilewe kwanza computer inavyofanya kazi.Computer ni progressive version to show how humanity is controlled by the brain.

Kadri matoleo ya komputa yanavyozidi kuboreshwa ndivyo wanajaribu kukuonesha jinsi ubongo unavyofanya kazi..Kila wakistudy how the human body works wanaweka into practize kupitia computer system versions.

Narudia tena kama akili yako ni kisoda hutaelewa kinachojadiliwa hapa.

Kuna vitu ambavyo havionekani kwa macho lakini ndo key player wa operating system yote.

Na hiyo imewafanya wanasayansi nao washindwe kuelewa kama kumbukumbu yote ya matendo ya mwili huwa inapotea baada ya mtu kufariki basi huenda kuna another part ambayo wheather ipo internally au externally inayofyonza knowlege au kumbukumbu yote and possibly the dark energy( i dont know tutaita The universal power or whatever au sijui kuna black hole kwenye mwili wa mwanadamu ??).

Mpaka sasa tukubali tu kuwa Human creation was the biggest complex engeneering iliyowahi kufanyika na kinachofanyika sasa hivi ni sisi kujaribu kudecode how the complex matrix code of creation ilivyofanyika na kizuri zaidi kila kitu kilifanyika kwa mathematics kwa hiyo every thing was coded ( put under codes) kwa hiyo ni swala la muda tu and possibly this will bring the fate of humanity to be openly understood.

Utofauti wa kufikiri tulionao kwa kila mtu kisitufanye tuone kuwa pengine mmoja wetu anatumia akili vizuri na mwingine sio ila ukweli ni kwamba kuna kitu kinaitwa cluster level of conscious awareness ambapo itategemeana na wewe unaresonate katika cluster frequency ipi katika kuhabitate au kuyajua ya ulimwengu huu..Hata huyo kichaa unayemzarau na kumuona hajielewi na yeye anaenjoy in one way or another of the cluster level of awareness ambapo anaiona dunia katika cluster level nyingine kabisa na sio kosa kwa sababu we are living in a bilion cluster levels of conscoiusness na anaenjoy vya kutosha tena anatamani kujitenga na wale wengine kwa kuhofia wasije wakamhamisha .lakini sis tunaishia kuwadiagnose na kuwaona ni bipolar and whatever kind of psychiatric patient ..ni pyschiatric patient katika cluster level ya dunia hii tunayoresonate ila wanahabitate katika cluster level nyingine ya maisha.

So brothers elimu hii ni pana sana ..inahitaji ufikirie nje ya box kabla hujaatamia yale uliyofundishwa darasani na pengine kukubali changes za ubongo wetu kuchukua ukweli mpya tofauti na ule wa mwanzoni coz kila siku watu wanajaribu kudecod the matrix of creation ili kuongeza ufahamu katika kuyajua yale yaliyofichwa na pengine ndo yanayotufanya tuendelee kuishi na kuna mengi ambayo hatuyajui ndo mana kuna mwana sayansi mmoja alisema kwamba macho yetu yapo limited katika kuona yanayotuzunguka kwamba human eyes can detect things occurs between 400 THz and 700 THz lakini my dia kuna beyond hizo frequency ambapo hatuoni vingi means kwamba usirelay na vinavyoonekana kisha ukaconclude kwamba hivyo ndo vinaendesha kitu and so and so.

Ubongo unaonekana lakini trust me kuna
Engine zinazoendesha huo ubongo hajigundulika mpaka leo..Mfano mzuri ni kwamba sasa hivi wanasanyansi wameweza kufanya DNA gene scanning kwa kuziidentify gene zote katika arrangement kwenye DNA ndani ya Chromosomes hivyo kujua kazi ya kila gene ili iwe mapema kuidentify abnormal gene zinazoactive cancer ili iwe mapema kuzichop out ( Gene therapy technology) ili kuzuia kupata shida hiyo baadaye..Na sasa hivi kama ukija kupata presha au Kisukari au ugonjwa wowote katioa umri wa usoni au katika umri wa miaka 50 means katika Gene arragement zako kuna abnormal gene umebeba ambayo ukifikisha miaka 50 yenyewe intrigger cascade of abnormal cardiovascular dearragement hence kuend up wity Hypertension au DM na kama ukipata Cancer at 40yrs of age means your body since birth ilibeba abnormal gene for triggering abnormal proliferation of cells hence kuleta Tumor and so on..
kwa hiyo kupitia Gene scanning kwa sababu tushajua normal gene arragement katika kutengeneza kila kitu tushajua basi itakuwa rahisi kudetect abnormal sequence arragement hence kuzifanyia editting ( Therapy) .

Hata kifo kinavyotokea wanaamini kuna gene pekee inayoitwa automated cardiac gene shutdown ambayo huwa inaicomand pace marker ya moyo kuzima hence cardiac arrest kwa hiyo possibly ndo mana unaona jama wanaumiza kichwa kuprolong life kwa kuizuia hiyo premature gene cardiac shutdown..

Mambo ni mengi muda hautoshi.. we need elimu kubwa sana kutambua haya na mbaya zaidi tukubali kuwa inatuchukua na itatuchukua muda sana kuyaweka bayana kwa sababu kila kitu kipo coded na ndo mana inahitaji mathematical science calculation kuyatafsiri.

Am sure 100% kuwa kwenye miili yetu wheather it is brain or whatever outside huwa kinaabsorb memory after death kwa sababu kuna jaribio moja lilishawahi kufanyika la kupima uzito wa ubongo before death and after death na kugundua kuwa before cardiac arrest ubongo ulikuwa na uzito mkubwa na baada ya kufa uzito ulipungua kwa some microgram kadhaa hivi with no changes in internal organs yani kwamba uzito ulipungua kidogo bila kuhusisha kupotea kwa physical view.

So ukiww unazaliwa your brain posses nothing then kadri unavyokuwa unaanza kugain awareness means ni kama kuna flash inakuwa imeingizwa kisha kuanza kupewa vitu na pengine flash ikichomolewa kila kitu kinapotea.kwa hiyo tukubali "in this universe there is a core where we obtain knowledge and inspiratin but am not sure where it is but am sure it exists and possiblye the dark energy"Nikola Tesla
 
Dah! Mleta Mada unatia huruma kwakweli. Siamini km ni D'a'vinci yule aliyekuwa anatoa mada zenye tafiti na zilizonyooka. Au huyu ni mwingine? Unatuletea za imani ukifikiri ni tafiti? Unasikitisha sana.
 
Fact sana umeshusha, comrade
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom