Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

Je umesema haya kwa mujibu wa tafiti au kwa mujibu wa uelewa wako. Je Subconscious mind ni nini? Na inafanya kazi gani???
Nina mkono kila siku huwa ninautunia kula chakula, ninahitaji kufanya utafiti gani tena wa kujua kuwa huwa ninautunia mkono kula chakula? Irrespective of the type of mind, the mind cannot be and will never become a storage facility. Serikali unaijua? Ulishawahi kuiona sura yake au mumbo lake lilivyo?
 
Me kwa upande wangu naona akili ni Kama battery ya ubongo. Yani Kila kiumbe kina ubongo. Ila uwezo wa kutumia ule ubongo ndio tunaita akili, hii inatokana/inaathiriwa zaidi na mazingira tunayoishi na tunayokutananayo.
Kwa mfano ngombe Ana ubongo, nyani, Simba, chui, mbuzi na viumbe vyote vina ubongo ..lakini namna wanavyotumia bongo zao kufikiri ndio tunaita akili lakini itaathiriwa na mazingira yao Kama wao. Na kwa binadamu pia ..hakuna asiye na ubongo Ila kwa Nini Kuna watu wanaweza kufanya mambo makubwa ilihali wote tuna ubongo? Hapo ndio uwezo wa akili unapoibuka, Yani akili ni Kama vile computer zilivyo na version mbali mbali window xp,7,8,8.1pro, 10 na Sasa 11 ndivyo akili ilivyo ..Yani uwezo unatofautiana. Jinsi unavyoweza kutumia ubongo wako ndio tunaita akili.

NB: Viumbe vyote vina ubongo lakini siyo Kila kiumbe chenye ubongo kina akili.
Akili ni matokeo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mind is not a storage facility for it is not a physical organ but rather, a logical processing tool. Hakuna storage yoyote inayoweza kufanyika kwenye mind. Hicho kitu hakipo leo na hata milele.
Kiwa mfano, mtu anaweza akawa na Ubongo usio na akili, kwa mfano mtu kichaa, lakini mtu hawezi kuwa na akili bila ya kuwa na ubongo. Leo umeniangusha sana kwenye post yako hii
Kwa hivyo "storage facility" ni lazima iwe (physical) organ? Kwa nini? Btw, kwa nini kuhitajike physical organ kuhifadhi non-physical things (data, info., kumbukumbu)?

NB: Mimi sio mtaalamu wa hizi mambo kabisa. Nataka kujifunza tu na nipo tayari kufunzwa. Asanteni.
 
Kwa hivyo "storage facility" ni lazima iwe (physical) organ? Kwa nini? Btw, kwa nini kuhitajike physical organ kuhifadhi non-physical things (data, info., kumbukumbu)?

NB: Mimi sio mtaalamu wa hizi mambo kabisa. Nataka kujifunza tu na nipo tayari kufunzwa. Asanteni.
You can not create something from nothing
 
Mind is not a storage facility for it is not a physical organ but rather, a logical processing tool. Hakuna storage yoyote inayoweza kufanyika kwenye mind. Hicho kitu hakipo leo na hata milele.
Kiwa mfano, mtu anaweza akawa na Ubongo usio na akili, kwa mfano mtu kichaa, lakini mtu hawezi kuwa na akili bila ya kuwa na ubongo. Leo umeniangusha sana kwenye post yako hii
Nawewe mbona unataka kupotosha? Unasema vichaa hawana akili?
 
Ubongo kimuonekano ni kama kitu cha duara cheupe kilichogawanyika mara mbili, pande la kushoto na pande la kulia, kama ilivyonyumba imeundwa na matofali, ubongo nao hivo hivo umeundwa na neurons (vitu kama kamba kamba vilivyounganyika pamoja kuunda circuit)
my00133_im00317_bn7_hemispheresthu_jpg.jpg


Picha ya ubongo
20210826_164043.jpg

Picha ya neurons zilizojipanga kuunda circuit,

Kumbu kumbu zinakaa kwenye ubongo, ikitokea mtu kapata ajali ya boda boda kaumia ubongo wa mbele umeharibika, huyu mtu hataweza tena kukumbuka chochote au kufanya maamuzi ambayo ni logical,

Huoni kuwa huu ni ushahidi kwamba kumbu kumbu zinakaa kwenye ubongo?

Kwanini useme kumbu kumbu zinahifadhiwa kwenye mind? Au pengine hukuelewa mind ni nini?

Kiufupi akili haihusiani na roho wala mizimu, akili ni kitendo cha ubongo kuchakata taarifa na kuendesha mambo ya kibaolojia na yasiyo ya kibaiolojia ili kumsaidia mtu kwenye maisha yake ya kila siku.

Sijui umenielewa mkuu?

All in all unaposema kumbu kumbu zinakaa kwenye akili it is illogical
 
Yes, agreed. Is this the reason (subconscious) mind cannot "store" memory as postulated by Da'Vinci ?
Sub counscious mind is controlled by the celebellum and the stem of brain, subconscious mind means set of brain activities that control your body semi counsciously (yaani yale mambo ambayo yapo kati kati ya hiari na yasiyo ya hiari) mfano kuua bila kukusudia chukulia umetoka pilini kukata kuni, umefika nyumbani kwako na panga mkononi ghafla ukamkuta mkeo kabananishwa kwenye kona analiwa uroda na njemba nyingine do you know what will happen?
 
Mind, subcounscious mind wengi hamuelewi ni nini? Yaani mnaposema mind itunze kumbu kumbu ni sawa na kusema maji yahifadhiwe kwenye maji yaani haileti maana , ni wazi hamuelewi maana ya hayo maneno
 
Sub counscious mind is controlled by the celebellum and the stem of brain, subconscious mind means set of brain activities that control your body semi counsciously (yaani yale mambo ambayo yapo kati kati ya hiari na yasiyo ya hiari) mfano kuua bila kukusudia chukulia umetoka pilini kukata kuni, umefika nyumbani kwako na panga mkononi ghafla ukamkuta mkeo kabananishwa kwenye kona analiwa uroda na njemba nyingine do you know what will happen?
Okay, nakuelewa unachokisema hapa. Ingawa nashindwa kuona inavyojibu swali nililouliza.

Mtoa hoja kwenye makala yake (kama nimemuelewa vema) anasema brain na subconscious mind zote zinatunza kumbukumbu. Ameenda mbele zaidi na kuelezea aina ya kumbukumbu zinazotunzwa huko kote.

Sasa nilihisi kama kwa namna fulani unatofautiana na mleta hoja. Kwa hivyo nilitaka kujua ni nini hasa au sehemu gani mnatofautiana ili tujifunze zaidi au hata kupuka kupotoshwa.

Ametoa description yake ya mind (soul), je unakubaliana nae?
 
Nimefurahi kuona umepata muda wa kufuatilia kwa kina na kutafakari kuwa akili ni nini? Zinakaa wapi? Na zinapatikanaje?
Akili (Mind) ni sehemu iliyopo ndani ya Soul(Roho) ni sehemu ambayo haionekani kwa macho ya nyama. But it's present
unapotaka kujifunza kubali kuwa huru, pima hoja kwa kutokuhusisha imani.
Binafsi hua naamini na kugusia kila upande..Kisayansi,kiimani na Kisaikolojia
Haya tuanze na title ya uzi wako,

"Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind"​


Katika title umeandika kuwa kuna kumbu kumbu zinazo hifadhiwa kwenye ubongo na kumbu kumbu zinazohifadhiwa kwenye akili (mind), hapa umemaanisha kuwa akili zina exist nje ya mwili wa binadamu yaani akili sio sehemu ya ubongo,
Kwa mujibu wa Wanasaikolojia wanasema akili inapatika ndani ya roho na roho ipo ndani ya Ubongo!
kwamba akili na ubongo ni vitu viwili tofauti (duality),
Ndio ni vitu viwili tofauti.
Huu mtazamo wako ndio ule ule aliokuwa nao bwana RENE DISCARTE karne ya 16 kama sikosei, ni baada ya wanasayansi kuanza kujaribu kuelezea akili ni nini?
Ndio...
Nitajie kumbu kymbu zinazokaa kwenye mind according to your theory nikupe proof kuwa akili inapatikana kwenye ubongo

Nitajie mkuu
Kwa mfano:
Labda siku moja uliwahi kuwa na mahusiano/ Kutongozwa/za na mwanaume au mwanamke ambao kwako wewe ambae wewe unaona hakufai, roho yako inahifadhi taarifa kwamba uko interested na watu wa namna hiyo.

Au siku moja imetokea umeiba kitu roho itahifadhi taarifa. Siku umeenda jela basi roho itasevu. siku ukitembea na mtu aliekuzidi umri roho itahifadhi nk. Kwa upande wa Psychology roho tunasema kwamba Roho (Subconcious mind) inafanya kazi kwa ukaribu zaidi au inashirikiana katika kutenda kazi na Nature.
 
Mleta mada yeye theory yake kwa kifupi ipo hivi, mwili wa binadamu ni sawa na hardware (kompyuta isiyo na window) ukiufaunyia installation ya window (akili/roho) ndio unakuwa mtu mwenye akili

Anamaanisha akili ziko nje ya ubongo
Does appear in the Brain
 
Akili sio kama betri , ila ubongo ndio unafanya kazi kwa mfumo wa umeme,

Utofauti kati ya ubongo wa mbuzi na binadamu ni kwamba binadamu ana ubongo mkubwa kuliko hata wa tembo, pia ubongo wake wa mbele ni mkubwa huu ubongo ndio unadeal na logical decision, ila ubongo wa mbele wa mbuzi ni mdogo sana

Sijui unanipata mkuu?

Kuhusu nani kafanya mambo makubwa nani hajafanya hiyo ni mada nyingine unazungumzia habari za memmory zinavyoweza kumfanya binadamu ayabadili mazingira
Mate.. tunakoelekea itakua inafahamika upongo umegawanyika sehemu mbili zaidi ambazo ni Left and Right brain. Theory ya part tatu za ubongo inawezekana imepitwa na wakati..
Soma zaidi hapa kuhusu ubongo wa kushoto na kulia
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Similar Discussions

Back
Top Bottom