Utajuaje kama mpenzi wako anakusaliti kisiri?

Utajuaje kama unachitiwa na mpenzi yaan zile stage ambazo za kushtuka kma mpenzi wako
Mabadiliko ya kawaida yake na tabia. Mfano kuwa busy na simu na siye wewe anayewasiliana naye. Kuwa na muda mrefu zaidi (kuliko awali) wa kujipamba kabla ya kutoka.

Kuwa na muda mfupi wa kuwa pamoja kwa mazungumzo au mapumziko. Mfano ukiwa chumbani, basi atakuwa sebuleni, ukiwa sebuleni atakuwa chumbani.

Kuwa na mizozo ya mara kwa mara kwa sababu zisizo za msingi. Kupungua kwa ratiba za kukutana kimwili kwa sababu za kuchoka au kuumwa feki. Hizi ni baadhi.

Ova
 
IMG_4895.jpeg
 
kuchapiwa kisiri au hadharani, zote ni kuchapiwa tuu.. uamuzi ni wako, je unapojua unachapiwa unatakiwa kufanya nini?
 
Acha kumchunguza Bata so long as at that time una-furaha ya kuwa nae wewe endelea kuwa nae..., Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Hati Miliki ya Mtu mwingine.... Enjoy the Moment...
 
Back
Top Bottom