Tatizo kubwa liko kwa ''binti'' kutegemea aambiwe asomee nini. Inaonekana anategemea kuambiwa asomee nini ndiyo maana anafeli. Asomee vitu anavyopenda na ambavyo ana uwezo navyo, as simple as that. Ni aibu kwa binti wa miaka 28 kutoweza kuchagua mwenyewe asomee nini na kutegema kuambia na watu.Binti ana Four ya 28 sasa anataka kujua anachoweza kusomea
NIT
DIT
NACTE
Kweli unajua kitu unachouliza. Hicho chuo kipo Marekani?Binti ana Four ya 28 sasa anataka kujua anachoweza kusomea
NIT
DIT
NACTE
Mkuu kwema, Kama physics, chemistry na biology Ana D, mshauri afanye kuomba Radiology ama Dentistry, hizi kozi Zina mkopo kwa level ya diploma, chuo Cha Afya Kibosho kinatoa hizo kozi zote so ni yeye uchaguzi wake asome kozi ipiBinti ana Four ya 28 sasa anataka kujua anachoweza kusomea
NIT
DIT
NACTE
Sio miaka 28. Point 28.Tatizo kubwa liko kwa ''binti'' kutegemea aambiwe asomee nini. Inaonekana anategemea kuambiwa asomee nini ndiyo maana anafeli. Asomee vitu anavyopenda na ambavyo ana uwezo navyo, as simple as that. Ni aibu kwa binti wa miaka 28 kutoweza kuchagua mwenyewe asomee nini na kutegema kuambia na watu.
Hapana, ni arts huyu hajasoma kemia wala fizikia... Ngoja nikaeditMkuu kwema, Kama physics, chemistry na biology Ana D, mshauri afanye kuomba Radiology ama Dentistry, hizi kozi Zina mkopo kwa level ya diploma, chuo Cha Afya Kibosho kinatoa hizo kozi zote so ni yeye uchaguzi wake asome kozi ipi
Asante
Pamoja na hayo mkuu. Mwambie achague mwenyewe anataka nini. Kufeli mtihani ni jambo dogo sana kwenye maisha na pengine hana interest kabisa na mambo ya kusoma tena. Kaa naye kwa taratibu, mchunguze, na kwa pamoja mchague afanye kitu alicho na uwezo nacho na anachokipenda.Sio miaka 28. Point 28.
AsantePamoja na hayo mkuu. Mwambie achague mwenyewe anataka nini. Kufeli mtihani ni jambo dogo sana kwenye maisha na pengine hana interest kabisa na mambo ya kusoma tena. Kaa naye kwa taratibu, mchunguze, na kwa pamoja mchague afanye kitu alicho na uwezo nacho na anachokipenda.