Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,944
- 16,600
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi. Inakadiriwa kuwa uharibifu uliofanyika hauwezi kurekebishika .
Zelensky anasema kama hawatapata msaada wa haraka kutoka NATO nchi yake inaenda kuangamia siku zimebaki chache kabla hajakimbia au kuuwawa na majeshi ya urusi.