Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,776
45,364
Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.

Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama

48BCFB13-DC2D-47EC-9B63-24498E00278F.jpeg

097BB753-96B3-4832-A70A-FBB87E84175D.jpeg
 
Mimi napenda wali nazi na maharagwe na Mke wangu ashafahamu hilo basi kama wapemba vile.
Wali unachosha mkuu.

Mimi nilikua napenda sana nyama mpaka wife akajua so for years ikawa ni bandika bandua currently sipendi tena sijui kuku, nyama za mbuzi, ng'ombe, kitimoto N.k

sipendi sijui maharage maana nilikulaga sana boarding school so sijawai penda maharage..

Saivi sijui Kwa kweli Nile nini nacho penda..
 
Back
Top Bottom