Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 5,721
- 8,986
Wana dharauKatika Pets ambao siwapendi ni Paka maana Wana tabia za hovyo sana na Wana Kisirani sana 😂😂😂
Sana Mkuu ni zaidi ya dharau Wana Kisirani ile mbaya hasa Hawa Paka wa Dar hata kukamata Panya hawawezi na hapa Dar Sasa hivi Kuna Panya wanapigana nao na Paka wamebaki kudeka kama watoto wa kike.Wana dharau
Mimi pia paka kama siwaelewi, wana viburi sana. Halafu huwezi kujua mood yake kama amekasirika ama anafuraha, yeye yupo tu.Katika Pets ambao siwapendi ni Paka maana Wana tabia za hovyo sana na Wana Kisirani sana 😂😂😂
Watafiti wanasema pia, paka huelewa command anazopewa na binadamu, kama mbwa. Lakini they just ignore you 😄, na huwafanyi kituPaka Wana tabia za kike tena wale Watoto wa kike visirani, Wenye Paka huwa hamuoni vile Paka akikuona anavyo deka huku anakufuata na kukulia aisee nachukia sana 😂😂😂
Picha usimsahau na yule wa katikati anaekamilisha idadiNinao kama 6 hivi
Mbwa watiifu sana tena madume ndio watiifu zaidi kuliko majike majike visabengo sana hususani wakiwa na Mimba wanakua wabishi wabishi tu mpaka uwe mkali mkali uwapige mashuti ndio wanatuliaWatafiti wanasema pia, paka huelewa command anazopewa na binadamu, kama mbwa. Lakini they just ignore you 😄, na huwafanyi kitu
Sio Paka wa Dar labda wamkoani hukooo? 😂😂😂Paka akikasirika anaweza kukutoa macho