Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

Kaka we jua nimekutukana bonge la TUSI kimoyo moyo aiseee!!!
Yani umenitia hasira ungekuwa karibu ningekuwasha bonge la kelbu 😖😖
Ilitakiwa hata kulala usingelala huo usiku hapo xhddgxnkgdjhckcvhjbbjkj mxiewwwww!!
Hahaha nimekuelewa kaka
 
VITU AMBAVYO KWA SASA TUKIKUKUTA WEWE MWANAUME MWENZANGU.
-TUNA TUMIA GRISI YA INJINI YA MELI MAANA KUISHA NI NGUMU.
-MATEJA WATATU WENYE UPWIRU MIEZI SITA.
-KAMERA MAN TOKA USA kwenye site za porno.
-FENI
UKITOKA HAPO JESHI LA POLISI LI MSHUKURU MAMA KWA KUKUOKOA MAANA ULITAKIWA UFANYIWE SIKU 7
 
Hivi kweli hili nalo linahitaji ushauri toka kwa watu wengine? Wewe Jambo Kubwa unaona hili ni jambo dogo?
Kwa hili lilokukuta hata ungemuuliza Baba Mkwe wako angekwambia piga chini huyo Mwanae. Huyo dada hakupendi na wala hakutaki ndo maana kaamua kudinywa wakati wewe mwenyewe upo nae. Je, vipi awapo huko Mkoani?
TAFAKARI CHUKUA HATUA ACHA HURUMA ZA KIJINGA UTAKWENDA NA NGOMA. Hata Biblia inasema haipendi kuona wanandoa wanaachana ila kwa habari ya Zinaa imeruhusiwa ndoa kuvunjika.
 
Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo.

Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii kulikua na mapumziko marefu kuanzia Ijumaa siku mwokozi anasurubiwa hadi kufa, jumapili ya ufufuo wake na jumatatu kumalizia sherehe za ufufuo wake na siku hii iliambatana na siku ya wajinga (01/04)

Katika mapumziko haya tulikubaliana mimi na mpenzi wangu tukutane mkoa flani uliopo katikati ya nchi ili tuwe pamoja na tuyatumie vizuri mapumziko maana huwa tunakua mbali mbali mda mrefu kutokana na mihangaiko ya kimaisha (tunafanya kazi mikoa tofauti).

Kama kawaida alhamisi kuu hakukua na mambo mengi ofisini, si unajua wafanyakazi wakishajua kuna mapumziko marefu kwa io akili zinawaza mapumziko tu muda ufike waondoke. Mimi nilitoka mapema sana siku hii, nikaenda kujiandaa na safari ya kwenda kumuona Haniiiiii.

Jioni yake nikapanda basi kwenda mkoa wa katikati ya nchi, nikafika mida ya sa 4 au 5 usiku hivi. Baada ya kushuka kwenye basi nikampigia simu kumtaarifu kwamba nimefika ili nijue yupo ile sehemu tunayofikiaga siku zote au yupo sehemu nyingine nipitie.

Nilipiga simu haikupokelewa, nikasubiri kama nusu saa hivi nikapiga tena simu haikupokelewa, nikaanza kujiuliza kuna nini tena mbona sio kawaida yake. Ikabidi nifanye uamuzi wa kuchukua bodaboda na kuelekea

moja kwa moja sehemu ambayo huwa tunafikia mimi na bebi mama wangu.

Vuuuum hadi lodge, nashuka tu kwenye boda naona simu yake inaita, nikapokea nikamuuliza vipi akasema fresh, usingizi ulimpitia ndo mana hakupokea simu nikamwambia poa haina shida, akaniuliza umeshafika nikamwambia ndio nipo sehemu yetu kabisa, akanielekeza namba ya chumba basi nikajongea zangu hadi chumbani.

Kufika room tukaonana na mambo mengine yakaendelea poa kama mnavyojua wapenzi wasiokutana mda mrefu wakikutana huwa inakuaje, ilikua ni nyakati nzuri sana sikumbuki hata usingizi ulikuja sa ngapi, tulikuja kushtuka kesho yake siku isiyoruhusiwa kula nyama alaf mi nimekula tena mbichi mida ya sa tano asubuhi hivi watu wa usafi walivyokuja kutugongea mlango.

Mambo yalienda poa sana, kiasi kwamba tulipanga tuondoke jumatatu ya pasaka ili jumanne kila mtu awe kituo chake cha kazi tukaongeza siku moja yaani tuondoke jumanne, jumatano ndo tuwe kazini. Sasa hii siku ya moja tulioiongeza ndo ilikua kivumbii.

Katika huu mkoa nna ndugu zangu, kwa io nilimpanga mtu wangu kwamba jumatatu jioni ntaenda kusalimia ao ndugu ila nitawai kurudi kabla ya sa tatu usiku nitaku nimesharudi. Io siku na muda ukafika nikamuaga mwenzangu naenda kusalimia akasema poa.

Nikafika kwa ndugu zangu nikakaa nikapiga story sana,ilivyofika mida ya sa moja usiku sim ikaita, bebe ananipigia nikapokea ananiambia kuna wenzake wamekuja ameenda kuonana nao alaf funguo ya pale chumbani amejisahau ameibeba ajaiacha mapokezi kwa io nikiwa narudi nimwambie ili na yeye arudi, nikamwambia poa haina shida.

Mida ya sa mbili usiku nikaanza kutoka kwa ndugu zangu, nikamtumia msg bebe kwamba ndo natoka kwa ndugu ili na yeye ajiandae kurudi tunapokaa. Ile msg haikujibiwa, kama kawaida nikapanda bajaji hadi mjini kati kabla sijaenda tulipofikia nikampigia simu hakupokea, nikapotezea nikapitia dukani nikamchukulia zawadi nikaanza kutembea mdogo mdogo kueleka ile lodge, nikapiga tena simu haikupokelewa, apo muda ni kama sa tatu na nusu hivi. Akili ikaanza kuwaza amepatwa na nini, ameshatoka aliponiambia ameenda au bado maana sim haipokelewi msg hajibu.

Nikaingia pale lodge nikamkuta dada wa mapokezi, tukasalimiana na tunafahamiana maana sisi ni wateja wake wa mda mrefu, badae nikamuuliza uyu dada ambae nipo nae yupo umu ndani au hajarudi, akaniambia yupo na mbona hajatoka leo. Eeeh kitu kikagonga kichwani kwamba hajatoka na mi aliniambia ametoka, nikazuga pale mapokezi nikamuaga yule mfanyakazi alaf chaap nikaenda mlangoni kwenye chumba changu.

Kuzungusha kitasa mlango umefungwa kwa ndani, nikagonga mara kadhaa haufunguliwi nikachungulia ile sehemu ya kupitisha funguo nikaona funguo ipo ndani, nikajiuliza uyu amelala au ni nini? Nikapiga sim hapokei. Ikabidi niongeze nguvu ya kugonga mlango baada ya muda kidogo nikasikia mijongeo ya miguu paap funguo zinacheza mlango unafunguliwa.

Ile kufungua tu mlango akasimama mlangoni ananizuia nisiingie, nikamuuliza vipi akaniambia ndani kuna rafiki zake wawili (mtu na mpenzi wake) kwa io anaomba tuwapishe watoke alaf ndo sisi tuingie, nikamwambia unasemajee kudadeki nilimrukia kichwa kimoja yule binti kama bahati kuna mtu alikua anapita kwenye korido za lodge akawai akamvuta pembeni nikaenda kukita ukutani, ukuta ulitikisika kama tetemeko limepita na mimi nikaumia kichwa.

Nikaondoka kwenye lile eneo navuja dam nikaenda nje nikasema siondoki maeneo haya hadi nione alikua na nani, nikarudi tena kuelekea kwenye kile chumba nikapishana na MCHIZI kwenye korido anatoka kwenye chumba chetu, nikapoa jamaa akanisalimia nikamuitikia tukapishana. (Jamaa ananifahamu na mimi namfaham, na tulifahamiana kupitia uyu mpenzi wangu).

Nikawa nimeshapata majibu kwamba mle ndani alikua na yule jamaa ambae siku za nyuma aliwai kunitambulisha kwake kama rafiki ake alisoma nae Chuo.

Sasa chumbani ndo kukawa mziki, akawa anakataa hawajafanya chochote walikuwa wanapiga tu story, nikamuuliza kwa nini ulinidanganya uliniambia unatoka kumbe haujatoka, kwa nini ulinizuia nisiingie kama kulikua hamna jambo lolote akajibu alikua anaogopa.

Hasira zilikua nyingi jumlisha na maumivu ya kichwa, nikaingia bafuni nikajimwagia maji nikahisi unafuu kidogo, nikapoa.

Sasa nikagundua kitu mbona mda wote angang’ang’ania kanga haitoi mwilini mwake, sikumuuliza, akataka kwenda kuoga nikaona anaenda vilevile na nguo nilizomkuta nazo nikamsimamisha nikamvuta ile kanga akaanza kurudi nyuma, nikamshika kwa nguvu kunyanyua lile gauni ndani hana kitu kumshika juu hana kitu (yani vazi alilokua nalo ni lile gauni tu) aagh bas nikajiridhisha leo siku ya wajinga nimekua mjinga nimepigiwa manzi wangu.

Nikamuacha sikuumuliza chochote, hali yangu nikawa siielewi akaanza kuomba msamaha na kusisitiza hawajafanya chochote, nikamwambia poa haina shida.

Sasa kupata usingizi kulala ikawa issue mi sipati usingizi, mtoto wa watu analia tu usiku kucha, kusema kweli nilimpotezea nikamuacha na sikulala nae kama ambavyo huwa tunalala siku zote.

Ilipofika sa 9 usiku uvumulivu ukanishinda nikamwambia mimi na wewe basi, tukiondoka apa tusijuane tena eeh nikawa nimeamsha kilio upya.

Yule muhudumu wa pale lodge akaja akanigongea, nikafungua nikawa naongea nae (alijua nampiga labda) kwa io alikuja kucheki usalama akakuta usalama upo poa kama Ikulu.

Kulivyokucha nikajiandaa nikapanga vitu vyangu, nikamuaga na kumtakia maisha mema kilio kikaanza tena, nikatoka nje kwanza nimuache apumue.

Nilivyokua nje nikakutana na mmama mmoja mtu mzima ambae huwa anahudumu kwenye hii lodge na tumezoeana tu ile kikawaida, akaniita akaanza kuniuliza vipi wewe na mwenzako (nadhani alijua kuna kitu). Nikamuelezea kila kitu kama ilivyokua na maamuzi niliyochukua, akaanza kunipa ushauri pale ananiuliza mahusiano yetu yana mda gani na nini, mwisho akanishauri nisimuache nimpe muda, nirudi niongee nae na muondoke apa mmeelewana ila katika uo mda unaompa unakua unamchunguza, sio vema mmekuja apa wote alaf kila mtu anaondoka kivyake sio jambo jema hata uko mnapoenda hakutokua kwema.

Aagh nikaona poa maneno ya mtu mzima yana maana, nikarudi chumbani nikamkuta mtoto yupo tu machozi yanatoka nikaanza kuongea nae na kumwambia hatuachani nilifanya maamuzi nilikurupuka sababu ya hasira na nini kwa io tuendelee kuwa ote lakini tuchunge miendeneo yetu, basi tukabembelezana pale akaamka akajaindaa tukanywa chai tukaondoka, tukapita sehemu tukafanya manunuzi ya hapa na pale tukaenda stendi akapanda gari akaondoka kwenda kazini, na mi nikaenda kutafuta usafiri nikaondoka kwenda mkoa wangu naofanya kazi.

Picha ikawa imeishia hivo, PASAKA imekua PASUKA maana nna kakovu kichwani apa. Sasa nachowaza maamuzi yapi sahihi ni yale niliofanya usiku wa manane au niliofanya asubuhi baada ya kushauriwa (sielewi)

Lakini ni tukio baya sana kutokewa kwenye maisha yangu, sijawai fikiria kama ntakuja kutana na kitu kama hiki ila ndo imeshatokea na kama tupo hai maisha lazima yaendelee tu.

Vipi wewe, limewai kukutokea ilikuaje, ulichukua uamuzi gani..??!
Karibu tubadilishane uzoefu
Yaani mtu ametombewa kwenye chumba ulichokilipia, halafu umemsamehe! Jiandae kumsamehe tena, huwa hawaachi.
 
Kaka we jua nimekutukana bonge la TUSI kimoyo moyo aiseee!!!
Yani umenitia hasira ungekuwa karibu ningekuwasha bonge la kelbu 😖😖
Ilitakiwa hata kulala usingelala huo usiku hapo xhddgxnkgdjhckcvhjbbjkj mxiewwwww!!
Kwahiyo hautaki mwanamke mwenzio asamehewe ?!
 
Sio mwanamke mwenzangu hata angekuwa mwanaume pia hafai kusamehewa!!
Ww kwa hali ya kawaida unaona iko sawa?? Vipi angesababisha mauaji?!!
Ilitakiwa hao wanaume wangefanya maamuzi magumu wangemla tena wote kwa pamoja iwe fundisho, unaanzaje kuingiza mwanaume chumba mlichokodi na mpz wako kwaajili ya mapumziko??
 
Kufumania nishawai, na sikumuacha maan siwez acha mwanaume kisa nimemfumania na dem.
 
Sio mwanamke mwenzangu hata angekuwa mwanaume pia hafai kusamehewa!!
Ww kwa hali ya kawaida unaona iko sawa?? Vipi angesababisha mauaji?!!
Ilitakiwa hao wanaume wangefanya maamuzi magumu wangemla tena wote kwa pamoja iwe fundisho, unaanzaje kuingiza mwanaume chumba mlichokodi na mpz wako kwaajili ya mapumziko??
Yaani apigwe mtungo ?! 😂😂😂😂
 
pole sana mkuu, umeleta mkasa humu ili upate ushauri humu utapata maoni tofauti tofauti kulingana na watu kua tofauti kimitazamo, ushauri wangu ni wewe kuusikiliza moyo wako coz watu kwenye ku move on tumetofautiana pia, kwasababu kwa maelezo yako nikwamba unampenda kwa dhati na ulimuamini mwanamke ambae ni kati ya wanawake wasio na uaminifu kwa wenza wao na nihatari sana kwanzia kwenye afya ya akili mpaka mwili nk, naweza nikaandika mengi nisiyamalize, kifupi hatakama ulimpenda dp huyo siyo sahihi tena kwako tafuta njia yoyote yakumpotezea hatakama ni taratibu, acha kumuhudumia mchukulie malaya kama malaya wengine. na akija kujiliza omba gem piga ukimaliza pita hivi na tuliza akili yako huku ukitafuta pisi nyingine kimya kimya
 
Wenzio tukikuta tu msg kaitwa babe tunaacha kabisa hatugeuki nyuma, we hadi chumba ulicholipia katumia kuliwa utamu bado unataka ushauri, mwanamke huyo ukiendelea nae ni kama umempa risiti ya EFD kwa alichokifanya. Pia mapenzi hayashauriki pengine huyo ndio kakuone ahuruma umuache ubaki singo.
Binafsi nisingemuacha ila asingelamba hata mia yangu kuanzia hapo zaidi alete tu utamu. Nashangaa hadi ukaenda shopping una moyo.
 
Naamini mapenzi yana nguvu sana, kuliko hata nguvu yenyewe!
Unaweza ukabaini hata hao wanaokushauri umuache ukiwakuta kwenye anga zao ni mazobaa tu kama ambavyo wanakusema wao.
Kwa nguvu hiyo jambo la kumuacha sio rahisi kama linavyotamkwa hapa, ni gumu, tena kinoma!
Ukweli usiopingika, huyo dada hakupendi, hakujali wala hakuthamini.
Kwahiyo fanya maamuzi mawili kati ya
1. Kuupenda moyo wako(kuuridhisha kwa kile unachokihitaji)- kubaki nae huku unaumia akili mwili nk..... au
2. Kuupenda mwili wako (afya ya mwili na akili)- kuachana nae huku moyo unaumia
Pole Mkuu ila inabidi uongeze moto kwa uzi wako unaonekana umezubaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom