1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa.
HAMAS wayakataa mapumziko uchwara ya vita, Ramadhani
2. Mazungumzo yake yameendelea kwa kipindi chote bila kukoma, kwa maridhiano. Kutokea washiriki: "Israel na Marekani," dunia imekuwa ikihabarishwa: "kikwazo pekee kufikiwa makubaliano, ilikuwa HAMAS:"
3. Kwamba kwa mujibu wa Marekani, Israel ilikwishafika bei. Kwamba ilikuwa lazima HAMAS waridhie au washurutishwe kuridhia. Ya kuwa mapendekezo yenyewe, yalikuwa makarimu mno kwao na Kwamba hawakuwa sababu yoyote ya kuendelea kukomaa au hata kuendelea kujadili!
Blinken aitolea wito Hamas ikubali 'pendekezo la kusitisha vita Ghaza
3. Hata hivyo, siku zote kutokea: "Egypt, Qatar na HAMAS" washiriki wengine: wakiihabarisha dunia, "kikwazo pekee ilikuwa Israel." Kwamba wakati HAMAS ilisisitiza kupata uthibitisho kuelekea sitisho la vita la kudumu kama ulivyokuwa msingi wa azimio, Israel ilikuwa ikitaka vita kurejelewa baada ya mapumziko mafupi; bila shaka yenye malengo ya kupewa mateka wake tu!
10. Kwamba HAMAS hatimaye kapewa uthibitisho aliokuwa akiutaka: "Yaani kupata kuhakikishiwa kwa vita Kusimamishwa sasa?" Na kuwa msingi na shauri la makubaliano ni yale yale, na kwamba Israel ndiyo huyu sasa kageuza kibao? Akisema sasa wazi wazi kuwa yeye hakubali. Kwamba azimio alilokubali HAMAS ni laini mno?!
11. Ama?! Huyu mitu, kumbe anajua hata anataka nini au hataki nini? Ya kwamba kumbe ndiyo maana hata analalama kutengwa na kutupwa pembeni kule 👉?!
12. Si alikuwa akidai mpira uko kwa HAMAS?
13. Hapa si ndipo kaurushiwa yeye sasa? akiucheza vilivyo "Kasongo Asumani" sasa, kila alipopata kuurushiwa?!