Ujio wa 4g tigo

Mtoa mada ndiye angeheshimu thread yake mwenyewe kwanza. 4G? Never in Tanzania not in 60 years. Smile kwa kushirikiana na TCRA Njaa waliuhadaa umma eti wanatoa 4G Wakati huduma yao ni 2.5G with simulated 4G ie placebo
Unachekesha kweli wewe eti Smile ni 2.5G
 
Wajiimarishe na 3G kwanza,kuliko kukimbilia 4G.2G haifai kabisa kuwa nazo kwa sasa
 
Vodacom ndio wana net ya ukweli tatizo ni gharama tu.

Ila kama ni 3G inakuwa ya ukweli.
 
Wana jf heshima zanu, leo katika pita pita yangu kwenye net nimesoma uzinduzi wa 4g tigo hapo bongo katika maeneo ya mlimani na masaki, walio katika maeneo hayo na wameshatumia hiyo service watujuze kuhusu performance yake????

mmh....labda hiyo mambo inapatikana ndani ya ofisi zao mule mlimani city....niko jirani kabisa na Mlimani ila speed ya tigo ni kawaida sana tena mida ya mchana ndio bure....
 
Mimi naona tigo wangefunga 3g kwanza ktk minara yao yote mijini na vijijini kabla ya kujitanua kwenda 4g.hapo dar penyewe internet ktk mtandao wa tigo ni mwendo wa kobe, any way ngoja tuwasubiri

Mkuu tigo pekee kijijini kwetu Machame Nkuu Sinde ndio wana 3G na speed ya ukweli.

Kwa upande wa kaskazini tigo wamewekeza sana, isitoshe waangalia wepesi wakurudisha gharama zao za uwekezaji wa hiyo mitambo ya 3G kumbuka siyo vijiji vyote vinaweza kupata hiyo huduma kwani baadhi ya vijiji vingi havina uneme ukipeleka mtambo wa 3G si ni hasara mkuu.
 
Guys jitahidin kuheshim thread za watu...kama hamkua na cha kusema ni bora mngekaa kmya kuliko kuharub thread..

Mkuu umeanza lini kuwanyanyapaa mataahira...kumbuka kuwa ni wanajamii wenzetu hivyo tunapaswa kuheshimu maoni yao hata kama wana hitirafu vichwani....THINK BIG....
 
Mkuu umeanza lini kuwanyanyapaa mataahira...kumbuka kuwa ni wanajamii wenzetu hivyo tunapaswa kuheshimu maoni yao hata kama wana hitirafu vichwani....THINK BIG....

Mkuu nikusahihishe kidogo, hatuwaiti taahira tunawaita watu wenye uhitaji maalum, people with special needs kwa lugha ya wenzetu....
 
Mkuu tigo pekee kijijini kwetu Machame Nkuu Sinde ndio wana 3G na speed ya ukweli.

Kwa upande wa kaskazini tigo wamewekeza sana, isitoshe waangalia wepesi wakurudisha gharama zao za uwekezaji wa hiyo mitambo ya 3G kumbuka siyo vijiji vyote vinaweza kupata hiyo huduma kwani baadhi ya vijiji vingi havina uneme ukipeleka mtambo wa 3G si ni hasara mkuu.

Mkuu Kumbe wewe jirani yangu hapo Nkuu sinde barabara ya makoa.... Kuifo enda
 
Mkuu umeanza lini kuwanyanyapaa mataahira...kumbuka kuwa ni wanajamii wenzetu hivyo tunapaswa kuheshimu maoni yao hata kama wana hitirafu vichwani....THINK BIG....
Nmekupata mkuu...
Ila mataahira wanahaki ya kuelekwezwa pia...na ndicho nlichokifanya mm.
 
Duh. Mko nyuma sana. Unga Limited Arusha watu wanatumia 7G tangu mwaka 2009

Mkuu iyo Tritel ndo mtandao gani mbona sijawahi kusikia kama ni ISP ninachojua ni kampuni ya kwanza kutambulisha GSM technology Tanzania....kwa kutusaidia tupe website yao ambayo ina vifushi na bei za bundle zao mkuu mpinga shetani

Blaza umetoroka milembe au?

Hahahahah mkuuu nafikiri 7G inatumika mambele kwa kina Oboma hata kenya sijui kama ipoo kweli
 
Acha uongo mbona mm niko hapa kwa luka nakula chips huku naperuzi jf kwa kutumua tigo?

Jf sio ya kutest kasi ya internet. Hata kwa gprs jamiiforums utatembelea tu. Fungua playstore ndio ulete majibu.
 
Sijui kama ninekupata vizuri ila
sasa kama inacheza E mpaka H+ si maana yake ume permeat simu iwe inatumia both 2G na 3G sidhani kama ni tatizo la minara tena bali ni maamuzi yako...

The only way nikuweka 3G only basi ila ukiweka 3G/2G Auto ndo majanga yake hayo

Umenipata vizuri, na ndo maana naona afadhari niweke auto kuliko kuweka 3G, maana kuna hatihati ya kutopata network iwapo sitaweka auto, ndo kisa cha kusema ni bora hata wakaboresha 3G kwanza isiwe fluctuate ndo walete hiyo 4G, maana saa nyingine unaweza ukawa umeweka 3G peke yake na ikawa inasoma 3G lakini ukawa hupati network
 
Umenipata vizuri, na ndo maana naona afadhari niweke auto kuliko kuweka 3G, maana kuna hatihati ya kutopata network iwapo nitaweka auto, ndo kisa cha kusema ni bora hata wakaboresha 3G kwanza isiwe fluctuate ndo walete hiyo 4G, maana saa nyingine unaweza ukawa umeweka 3G peke yake na ikawa inasoma 3G lakini ukawa hupati network

Mm nafikiri mnara unakua na both Generations hivo hata waki upgrade vipi uki permeat device yako itumie 2G itatumia tu...Hivo ku upgrade hakuwazuii wale watumiaji wa simu wanao set 2G kwenye simu ku minimize battery use...2G itabaki tu na njia rahisi ya kuikwepa lazima uset 3G only

Na kwa experience yangu mm nkiweka AUTO inabaki E mda mrefu kwenye simu ila nkiweka 3G only wala sipotezi connection hata siku moja nabaki kucheza tu 3G,H,H+
 
Sijamaanisha watoe 2G, kuweka 3G only inategemeana upo sehemu gani, si kila sehemu yenye mnara kuna 3G, mfano kuna sehemu hakuna network 3G kabisa na ndo maana nikasema kabla ya kuhamia kwenye 4G waboreshe kwanza 3G i.e wahakikishe kila mnara unakuwa na 3G ndo waende kwenye phase ya 4G
 
Back
Top Bottom