Sijui, ngojea waje wakujuze...huku UG tuna 5G from yu
Wanaoishi maeneo yaliyotajwa hapo juu tunaomba mtujuze..Wana jf heshima zanu, leo katika pita pita yangu kwenye net nimesoma uzinduzi wa 4g tigo hapo bongo katika maeneo ya mlimani na masaki, walio katika maeneo hayo na wameshatumia hiyo service watujuze kuhusu performance yake????
Sijui, ngojea waje wakujuze...huku UG tuna 5G from yu
Duh. Mko nyuma sana. Unga Limited Arusha watu wanatumia 7G tangu mwaka 2009
Okay, naona kila mtu anajifagilia. Kama ni hivyo basi.
Hapa kwetu msoga toka mwaka jana watu wanatumia Airtel kwa 8G. Tena Kikwete mwenyewe ndio aliizindua.
Nyie mnasema nini wakati apa UDSM watu tunatumia 10G kitaaaaambo!
Guys jitahidin kuheshim thread za watu...kama hamkua na cha kusema ni bora mngekaa kmya kuliko kuharub thread..Basis huku 2nduma 2na2mia 100G
Mimi naona tigo wangefunga 3g kwanza ktk minara yao yote mijini na vijijini kabla ya kujitanua kwenda 4g.hapo dar penyewe internet ktk mtandao wa tigo ni mwendo wa kobe, any way ngoja tuwasubiri
Acha uongo mbona mm niko hapa kwa luka nakula chips huku naperuzi jf kwa kutumua tigo?mimi hapa nilipo Kinondoni biafra Tigo inajikongoja sana
Mimi naona tigo wangefunga 3g kwanza ktk minara yao yote mijini na vijijini kabla ya kujitanua kwenda 4g.hapo dar penyewe internet ktk mtandao wa tigo ni mwendo wa kobe, any way ngoja tuwasubiri