Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,895
- 10,336
Nitaua na wala sitakuwa na kesi ya mauaji wala kujibu chochote kile, maana sheria zote na JF nzima akiwepo ephen mwenyewe atakuwa upande wangu huku akibubujikwa na machozi ya upendo utafikiri kafungiwa kwenye chumba kilicho pigwa bomu la Machozi.Lucas Mwashambwa ataua mtu🤣