To you Ephen

Kazama, anamjua? Yani huu mtindo wa kushobokea ID ovyo kuna mtu tutasikia amepigwa pipe.

Yani wanashindwa hata kuomba pm zifunguliwe ili wakamwage sera zao huko, wanaishia kukata viuno majukwaani. Huu ni Uzi kama wa 10 wa dizaini hii.

Itabidi nianzishe kampeni ya kuwaomba wadada wa humu wafungue pm zao, madogo wana weweseka sana.
Wanaweweseka sana kwa kweli. Hii kitu sitawahi kuja kufanya, ni kama unausaliti uanaume wako. Na Dem yoyote smart humu ndani huwezi kumnasa kwa huu ukanjanja.

Nakumbuka kuna manzi mmoja nilimuelewa sana kwa namna alivyokuwa ana-comment kwa staha, nikawa na hisia kali kwamba ni lazima itakuwa pisi ya kwenda, na kwa kawaida Huwa sikoseagi kwenye kubashiri, nikaenda PM nikakuta imefungwa, nikaanza kumvizia kwenye nyuzi, aisee..akawa kila aki-comment naruka nae, akiweka uzi niko nae , nikawa namchombeza, namtania na kumuomba afungue PM, siku isiyo na jina nikakuta kanicheki mwenyewe PM.

Aisee ni pini hasa, hadi leo huwa hajui ilikuwaje Hadi akanicheki mwenyewe PM , kwahiyo Hawa wanawake wa humu sio wa kuwafungulia uzi kabisa na kuanza kumuwekea jumbe ukidhani ndio utamnasa kwa urahisi, dem anayajielewa ndio humpati kabisaaa .

Hako kabinti hadi sasa ni karafiki kangu sana, itoshe tu kusema hivyo manake wabongo hamnaga dogo
 
Wanapata tabu sana, mfano aliyefungua huu Uzi hajapata hata like toka kwa huyo ephen. Alafu tukiwaambia waache shobo, waende pm hawataki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom