kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,016
- 11,955
We ludi kwenu burundiKwanza mambo ya matetemeko si ya kumulaumu MTU ni act of God.
We ludi kwenu burundiKwanza mambo ya matetemeko si ya kumulaumu MTU ni act of God.
Bado ulikuwa hujaamini?Hivi yule Rugemalila aliyekua anagawa pesa za escrow nae si Muhaya? ameshindwa kutoa vihela vya mboga kwa ndg zake wa Bukoba. Angalau hata akina Reginald Mengi wachaga lakin wameonyesha upendo mkubwa sana wa kutoa milion 100. Hizi sifa za wahaya kujifanyaga wana hela sana ni za kijinga na naanza kuamini takwimu zinazosema mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa maskini sana Tanzania
Hivi yule Rugemalila aliyekua anagawa pesa za escrow nae si Muhaya? ameshindwa kutoa vihela vya mboga kwa ndg zake wa Bukoba. Angalau hata akina Reginald Mengi wachaga lakin wameonyesha upendo mkubwa sana wa kutoa milion 100. Hizi sifa za wahaya kujifanyaga wana hela sana ni za kijinga na naanza kuamini takwimu zinazosema mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa maskini sana Tanzania
Jana nilipokuwa naangalia habari Al Jazeera, niliona kuna habari ambayo kamwe haitampendeza kabisa waziri Nnape Moses Nauye, habari hiyo ambayo ilianza na kusema SIKU TANO ZA MAFURIKO,WATU BADO WANALALA NJE", kwa taratibu Za nchi yetu na utaratibu wa mh Nape, hiyo ni habari ambayo kwa sifa zote imekidhi kabisa kuwa habari ya kichochezi. nadhani mpaka sasa hivi Aljazeera bado inaonekana nchini sababu wataalam wa TCRA wanafunga mitambo ya kuzuia mawimbi yasiingie nchini ila wanapata wakati mgumu sana kuyazuia kwa sababu za kiteknolojia
Tetemeko,mkuuKuna mafuriko wapi mkuu?
Chief unajua maana ya kushobokaaLJAZEERA ndio kitu gani? LABDA WALIKUWA wanawaonyesha waarabu.Waarabu huwa hawaangalii TV za kiingereza huangalia za kiarabu na wazungu tv wanazoangalia ni BBC,CNN hawatizami Alijazeera!! Hata watanzania wengi wala hawatizami aljazeera.Wewe mleta mada ni mwarabu hadi uwashobokee aljazeera?
Nape wala TCRA hawana uwezo wa kuzifungia International FTA TV Stations.
Breaking News zipo ITV hiyo TV nyingine hata ikitoa breaking news hakuna atakayesikia maana haina mtazamaji labda kama king'amuzi hakina pesaTUMEKUWA tukiandika kuhusu ni jinsi gani TBC na ubunifu wa kurusha matangazo ya kwa muda muafaka lanini hawbadiliki. Wajifunze kwa CNN jinsi walivyo sharp kurusha live matukio ya ghafla pindi yanapotokea(Breaking News)