Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

Viongozi wa Sisiem wanapenda sana Maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya Watu

Ndo maana maeneo ambayo ni ngome za CCM unakuta maji hakuna, watu wanakunywa maji ya dimbwi na wanyama

Dodoma, Tanga vijijini, Morogoro, Ruvuma, Shinyanga

Huko nyumba ni za Tembe/udongo

CCM walisema watashusha bei ya CEMENTI...
 
Wapi Papaa Jack Pemba, wapi Papaa Mudhamiri Katunzi, wapi Papaa Alex Kajumulo, wapi Papaa Salvatory Rweyemamu wapi Papaa Regemalila?
 
Acha uvivu mkuu,lazima tufike mahali tufahamu kuwa japo kiswahili ni lugha yetu lakini kuna tofauti kubwa sana za kimatamshi toka kanda moja hadi nyingine,matatizo ya matamshi yaliyojitokeza katika hoja ya mkuu Rweye ni matatizo ya kikanda na hayawezi kubadilika kwa kumsahihisha hapa jukwaani.

Kama tunavyotofautiana "rafudhi", ni lazima pia tukubali kutofautiana katika maandishi,mtu huandika neno jinsi anavyolitamka.Matamshi ya mmakonde wa Mtwara hayawezi kufanana na ya mzaramo wa kisiju pwani wala msukuma wa Mwanza.

Asante hilo nalo ni darasa, ni kweli nimekosea. Naomba nisamehewe.
 
Ninavyofahamu mimi TV ya taifa ni ITV...
eti tv ya taifa ni itv! kisa imeajiri wachaga wengi kila idara na kukava habari nyingi zinazowahusu nyie?
Bora ungesema channel ten mara 100. maana sijawahi kuona upendeleo wa habari zao. kama ni nyeupe inaitwa nyeupe hivyo hivyo. na yapili Azam TV. si hao ndugu zako.
 
Mubelwa Bandio ambaye ni mtangazaj katika ktuo cha redio huko Washington DC amesema

"Nyie TBC. Mnataka tuuu tuseme.
Nyie si ndio kituo cha TAIFA?
Nyie si ndio mnaoendeshwa kwa kodi ya wananchi?
Nyie si ndio mnaotakiwa kuhabarisha kinachotokea kule ambako radio za kibiashara haziendi?
Si ni nyinyi mnaostahili kuwa WAZALENDO zaidi?
Nyie si ndio mnaotakiwa kuweka maslahi ya nchi mbele?
Nyie si ndio mnaotakiwa kufanya coverage ya MATUKIO YA KITAIFA?
Iweje mnapuuza TUKIO hili la tetemeko?
Watu 16 wanaingizwa uwanja wa Kaitaba sasa, mamia wameumia na dazeni za nyumba hazifai kwa makazi, mnaendelea na vipindi vya MUZIKI. Seriously????
Mmewapuuza wahanga wa tetemeko hili kubwa.
Na mnaendelea kusema mnahimiza UZALENDO?"
Nchi imejaa wazalendo uchwara.
 
Hii ndiyo Tanzania tunayoambiwa tuwe wazalendo, ingekuwa ulaya kwa tukio hili kungekuwa na coverage ya hali ya juu kila baada ya dakika 5.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu maskini sana duniani.

Tanzania ni moja ya nchi yenye maajabu mengi na mazingaombwe.
 
Mubelwa Bandio ambaye ni mtangazaj katika ktuo cha redio huko Washington DC amesema

"Nyie TBC. Mnataka tuuu tuseme.
Nyie si ndio kituo cha TAIFA?
Nyie si ndio mnaoendeshwa kwa kodi ya wananchi?
Nyie si ndio mnaotakiwa kuhabarisha kinachotokea kule ambako radio za kibiashara haziendi?
Si ni nyinyi mnaostahili kuwa WAZALENDO zaidi?
Nyie si ndio mnaotakiwa kuweka maslahi ya nchi mbele?
Nyie si ndio mnaotakiwa kufanya coverage ya MATUKIO YA KITAIFA?
Iweje mnapuuza TUKIO hili la tetemeko?
Watu 16 wanaingizwa uwanja wa Kaitaba sasa, mamia wameumia na dazeni za nyumba hazifai kwa makazi, mnaendelea na vipindi vya MUZIKI. Seriously????
Mmewapuuza wahanga wa tetemeko hili kubwa.
Na mnaendelea kusema mnahimiza UZALENDO?"
TBC ni TV ya ccm,wapo tayari kurusha live mikutano ya ccm lakini sii kuonyesha majanga ya umma
 
TUMEKUWA tukiandika kuhusu ni jinsi gani TBC na ubunifu wa kurusha matangazo ya kwa muda muafaka lanini hawbadiliki. Wajifunze kwa CNN jinsi walivyo sharp kurusha live matukio ya ghafla pindi yanapotokea(Breaking News)
Tatizo ni kuwa sekta ya utangazaji imevamiwa na siasa uchwara.
 
eti tv ya taifa ni itv! kisa imeajiri wachaga wengi kila idara na kukava habari nyingi zinazowahusu nyie?
Bora ungesema channel ten mara 100. maana sijawahi kuona upendeleo wa habari zao. kama ni nyeupe inaitwa nyeupe hivyo hivyo. na yapili Azam TV. si hao ndugu zako.
Hawa mbona sijaona hata siku moja wakionesha yaliyotokea huko Kagera ama hilo siyo la kitaifa? waache wehu wao nao na ubaguzi wa habari. Wasitake tuwaumbue kwa mengi zaidi
 
eti tv ya taifa ni itv! kisa imeajiri wachaga wengi kila idara na kukava habari nyingi zinazowahusu nyie?
Bora ungesema channel ten mara 100. maana sijawahi kuona upendeleo wa habari zao. kama ni nyeupe inaitwa nyeupe hivyo hivyo. na yapili Azam TV. si hao ndugu zako.
Irrelevant and immaterial... Umeshafuatilia tafiti za media house hapa nchini? Kaangalie ni TV station ipi inaongoza kwa viewers wengi... Habari ya kuajiri wachaga au wamakonde inaingiaje kwenye huu uzi?
 
mawaziri wakisamehe mishahara ya mwezi mmoja tuu itatosha kupata hizo pesa
Kwahiyo taifa kama taifa halijui wala halina Kitengo cha maafa?!

Maafa hayatatuliki kwenye pesa tu tena za michael... ni ule utayari wa kuwepo kwenye janga pale linapotoke maana yake ni, kama Kuna meli inazama sa hizi kuwe NA vifaa vya ukoje.... kwa Muda ule

mpaka waziri aache mshahara hazina wapitishe ni leo?! Hapa mmebugi meeen ni aibu NA majamaa wa kenya wamewadhihaki kwa kuwapa msada wa mablanketi japo kwa kauli tu.....

Hahahaha NA mlioko wa ajabu utasikia mulhat Mpunga kapandishwa Kisutu kwa makosa salasini NA tano ya kumkashifu.......... Naniliu kibooo mtajifuza vipi Bila kukosolewa.......
 
Back
Top Bottom