Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,383
- 85,902
Kitumbua ukigonga mixer na maharage, basi we siku nzima nikunywa maji tu kama nyoka..😂
Kitumbua ukigonga mixer na maharage, basi we siku nzima nikunywa maji tu kama nyoka..😂
Mkuu, hii meza ukiisogelea hakuna siku utaaikia kupungukiwa nguvu za kiume...😝Ngoma hiyo hapo kwenye kibakuli..kionjo pendwa cha mamura kule kanda maalumu View attachment 2635492
Kwa mlo huu, kumbe nihaki kabisa kuikata faru joni mani aloni...😋Ndizi kaanga na nyama chomaView attachment 2635480View attachment 2635481
Nimeuona jamaa ametupia na kichuri inaonekana ina apilo ya kutosa....🤣Ugali wetu mweusi wa utegi sijauona. Nakata rufaa.
Barikiwa sana mkuu, kumbe ndiomaana hua narudi nyumbani kesho.....🙄
Huo mzigo nyokow 🤣 kanda maalum ya kipolisi.Ngoma hiyo hapo kwenye kibakuli..kionjo pendwa cha mamura kule kanda maalumu View attachment 2635492
Chakula hiki kinapikwa kwa kutumia nini na ni chakula cha tamaduni ipi hapa Tanzania?
Hio ni keki ya maharage na ndizi 🤣 inaliwa na jamii ya wapare 😀Chakula hiki kinapikwa kwa kutumia nini na ni chakula cha tamaduni ipi hapa Tanzania?
KiumboKishumba 🤣View attachment 2635531
Eti nyama choma, sema " kitimoto", mbona unaionea aibu mboga aiseeNdizi kaanga na nyama chomaView attachment 2635480View attachment 2635481
Asante, leo ndipo nimeiona kumbe kuna vyakula vingi mno hatuvifahamu.Hio ni keki ya maharage na ndizi inaliwa na jamii ya wapare