Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,317
- 11,175
Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo kutimia.Muda mfupi baadae nchi ikapata msiba mkubwa wa meli ya MV Bukoba kuzama.Vita ikashika kasi sana wakati wa Magufuli na bado inaendelea wakati wa Samia.
Vita hii wakati wa Magufuli na Samia inafanyika kwa ufanisi na kwa kuzubaisha kupitia mkono wa TRA.
TRA kwa muda mrefu ilikuwa ni kama idara ya kabila fulani la watu wa dini fulani.Kama kuna mfanyabiashara asiyekuwa wao wanataka kumfilisi na kuchukua nafasi yake,huwa mwenzao mmoja anafungua biashara kama ile mbele au jirani yake.
Baada ya hapo yule mfanyabiashara mkongwe anafuatwa na kubambikiwa kodi na kupigwa faini zisizokwisha mpaka anainua mikono juu.
Kupitia mawakali wa TRA wasio mwenzao, mfanyabiashara mkongwe anazushiwa madeni ya miaka iliyopita na kupigwa faini za mashine za EFD kwa makosa yale yale wanayofanya wafanyabiashara waliochomekwa kimkakati.
Hii vita ni vita ya kishetani na kwa sura ya nje inaweza kufanyika kwa vigezo vinavyoonesha ni halali.Kwa sababu vigezo na kanuni zote za TRA utaona kama ni sawa kwani vimo kwenye utendaji wao.
Kwa maana hiyo anayedhulumiwa wala hawezi kuhoji na kujitetea.Tatizo ni kuwa hicho kinachofanywa huwa kinafanyika kwa njama na dhidi ya watu fulani waliolengwa kufilisiwa ili kuwanyang'anya biashara zao na kuwadhalilisha kiuchumi.