Waafrika wanavyoichukulia Vita/shambulio la ya middle east kuhuhisianisha na dini,totally wrong.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,672
3,201
Hamas mwezi october 7 walifanya unexpected attack ambayo iliwaduwaza watu kwa kiasi kikubwa na watu wengi afrika na akili zao mbovu wanachukulia vita hii ni ya kiimani sizani kama itakuwa ni sahihi kuivaa vita kwa njia ya dini,wakati middle east machafuko yake yameanza kipindi cha YAKOBO na YUSUF na aliyesababisha zaidi kutokea kwa machafuko haya ni MOSES na MMAREKANI 1947 hii ndiyo chanzo cha migogoro yote.

lakini,bado sijaweza kuamini hivi vitabu vya dini kutokana na kwamba inaonekana haya machafuko ya middle east nmi kama yameandikwa ili kuufaidisha ulimwengu au watwal;a kwa lengo la kuipeleka dunia kwenye sera tofauti na iliyopo(NEW WORLD ORDER) hivyo walichagua silaha ya kulifanikisha hilo litakuwa ni ISRAEL na Mataifa jirani.

Vita ya Ardhi sisi Wakristo na Waislamu wa Tandale tunaivika kuwa vita ya kidini,hebu tuwe serious na mambo mengine ya msingi.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom