Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Nirahisi sana kumtafuta mungu kuliko kumtafuta make kwa taiga letu hili LA Tz,, Ukitafuta make him?" Yeye anatafuta Mali zako, joke wamekuwa vihoja wore!!"
 
Tabia pia izingatiwe...mwenye tabia mbovu mbovu aziweke wazi...maana kuna wengine tunapenda pasua vichwa
 
Natafuta mke any where mwenye sifa zifutazo ; 1. MCHA MUNGU
2. AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA VIZURI(yes no isimpige chenga)
3. ASIWE NA KAZI ILA AWE CREATIVE
3. Rangi black beauty ama white.
4. Mrefu at least 5ft
5. Model will be given 1 priority consideration (binge no bwana)
6.umri 18 -30 (bint mbich will b more considered)
7.awe anakubali kukaa popotee
 
Kweli Kabisa Wengine Wako serious Lakini Wanavunjwa nguvu na Wengine
Kama mm yaani nilivyo serious basi tu wanawake hamjui,ila kinachonisikitishaga ni kuwaona wanawake wanavyopenda kudanganywa aisee yaani mwanamke ukimwambia kuwa mm sina mke wala mchumba anaguna mpaka barabara ya 6 wanasikia na inawezekana ikawa ndo anateleza maxima ila ukimwambia aaah nilikuwa na demu ila ss simuhitaji kwa kuwa nataka kuoa mh anaweza kukuganda na kukupa vyote hata km hauko serious utakapomuacha basi ndo hivyo anaanza kuwalaani wanaume wote.

Ushauri wangu kwenu dada zangu mlio single,badilikeni muda na umri wa baadhi yenu sio marafiki kabisa,kiukweli ndoa ni jambo lenye baraka nyingi sana,usijidanganye kuwa muda bado upo ntaolewa tu,kumbuka siku zetu kuwepo hapa duniani hazijulikani hesabu yake ss kwa nn tunaendelea kujidhulumu kwa kuishi single ilhali kunamatangazo lundo humu ya kuwahitaaji tuungane kuanzisha familia??kwani Mungu aliwapa akili na maarifa kwa ajili gani?ili muweze kuchanganua jema na baya,mkweli na muongo,akufaaye NA asiyekufaa n.k so wekeni zile ndoto zenu ambazo huwa mnasimuliana mnapokutana pembeni then fanyeni tathmini ya wanaojitokeza ukiona unaridhika basi hatua zinazotakiwa kufuatwa zifuatwe na ukiona hakufai basi mnaagana kwa wema tu mbona sio ugomvi!.Binafsi nipo ktk uhitaji wa dhati kabisa kumpata mwenzangu ambaye ninaamini tutakayeriidhiana kila siku atakuwa anakuja kutoa ushuhuda hapa kwa treatment yangu kwake.Anybody interested just pass through my posts you'll find my specifications for a woman im looking to have.Unless otherwise nakukaribisheni PM na kamwe hakutakuwa na jibu lolote lenye kukwaza.
 
Namm nipo serious!!!!
 
Kwa vigezo vyote vile ulivyoorodhesha mkuu endelea tu kusugua goti
 
Don't worry mkuu,as a man siko ktk danger zone ya aina yoyote it was just an issue of searching na kamwe hakuna mtu anayeoa bila kuwa na preference zake mayb km umekuwa limited kwa kukosa vigezo pia but km uko sawa kuweka vigezo ni kama formality ktk suala hili so believe tu kuwa hakuna kitakachoharibika.Bado nna imani kuwa hata humu kuna wake wema but pia kuna wale kwa ajili ya matumizi,but kwa kuwa mi sihitaji wa matumizi so naamini tu kila ndege atatua ktk mti anaoupenda.That's all buddy.
 
sawa wakubwa.....sema tatzo mboga za humu zinataka wenye degree tu afu huwa haziwapi......

Na wanaopata niwachache hulet mrejesho
 
Back
Top Bottom