Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Kwa wale mnaotafuta wachumba ili muone,msitafute wachumba mnaofanana kila kitu,hamtafanikiwa.Jambo la muhimu weka sifa zako za mchumba kwenye asilimia,na ukimpata anayefikia 30% tu,basi huyo ndio ama mkeo au mumeo
 
NAMTAFUTA HUYU WA NDOTO NIMPENDE KWA DHATI ILE YA NDANI KABISA YA MOYONI.

Kwa Majina Naitwa Lacred Lucas Mayala.
1.Mwanaume mtu Mzima.
2.Mrefu kiasi
3.Color,Light Brown Skinned.
4.Weight 60kg.
5.Umri miaka 32.
6.Dini,Roman Catholic.
7.Kabila,Msukuma.
8.Makazi,Mwanza _Mtaa Bwiru.
9.Elimu,Degree in Laws.
10.Kazi,Private Legal officer.(Haina Hela Nyingi be Warned)

MWANAMKE WA NDOTO.
1.Dini,Yeyote ila Christian ata_ pendelewa ila haiwezi kuwa guarantee.
2.Color,Rangi Yeyote ile akiwa mweupe iwe ni asili.
3.Umri,kuanzia 25_35.
6.Makazi,Awe mkazi wa Mwanza au mikoa jirani itapendeza lakini not limited kwasababu upendo wa kweli hauna mipaka na unaota popote.
7.Urefu,Awe Mrefu wa kimo cha Wastani mwenye Kg 50_70.
8.Kazi,Awe anajishughulisha na issue Yoyote ile inayomuingizia kipato halali bila kuvunja sheria ya nchi au kuuza utu wa mtu.
9.Familia,kama ana mtoto basi Asizidi mmoja.

Mwanamke Huyo niko tayari kuishi naye na kumpenda ikiwa ni pamoja na kutimiza majukumu Yangu kama Baba. Mchumba tuwasiliane kupitia lacredlucas@gmail.com unaweza kuja PM though Sipendelei.
Kila laheli chief
 
Back
Top Bottom