Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,535
- 11,398
Wasalaam,
Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana madhara au hana mfano kama demu ana majini au mashetani au mchawi sana huyo demu wangu alikuwa anq nipigiq simu anakataza kabisa.
Alikuwa akipiga simu anasema kabisa huyo mtu una ahadi nae achana nae usikutane nae, acha kabisa na mimi nikiacha kweli anapiga simu anasema hapo sawa endelea na misele yako ondoa hofu uwe free.
Pia nikipiga shoo yoyote ile ambayo hainq madhara alikuwa anajua nikimkuta ghetto anakosa amani kabisa ananuna sana sana, na atanikagua tu na kukuta kasoro.
Siku zilivyosonga akaanza kujishuku uchawi akaacha kunichunguza nikimkuta ghetto akabaki ananuna siku nikinyandua shoo mpya.
Jamani Duniani kuna watu usiombe ukutane na demu wa hivyo.
Karibuni kwa ushuhuda na visa vingine.
Shukrani
🙏🙏🙏