Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 835
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
- Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
- Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.