Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.


Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;

  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
ACHANA NA VITU USED NJOO HUKU UTANUNUA VIPYA
BILA KUFIKILI PESA KUWA NI NGUMU

 
Ni bahati mbaya kwako mkuu,halafu mimi sikununua used,nilibandua maganda mwenyewe. Nadhani hapo kwenye used ndo palianzia shida.Jenga mazoea ya kununua kitu na box mkuu.pole
Mkuu sidhani kama ni busara kusema hivyo... ata kitu na box.. unabandua maganda... kinaweza kikawa kibovu.. ndo maana zinakuwa na warranty. sio Bahati mbaya.. ila kafanyiwa vibaya.. nashukuru pia kaweka maoni hayo na sie wengine tujue huduma halisia ya jamaa ikoje kama mtu ikitokea shida kama hivi.
 
Una bahati, binafsi nilinunua Tv LG smart inch 42 used kwake. Ndani ya mwezi mmoja ikaweka mstari kwenye kioo ... Nikamuambia hakufanya any response... Now imekaa ndani kama pambo kioo kimejaa mistari
Hii ilinikuta pia nimeitunza kama pambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom