INAUZWA Wauza saa ⌚ tukutane hapa

Pelekaroho

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
1,599
368
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.


Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Elezea hali ya bidhaa (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usirudie tangazo.
  7. Kuwa mwaminifu na toa ushirikiano kwa watakaohitaji huduma yako.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
 
Back
Top Bottom