Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

View attachment 2973546

Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.

Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye udalali/ utapeli wa viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge ya vipindi 2 yote yamekwisha

Kweli siasa ni nyokooo!!
Hili ni funzo kwa wengine.
Wala hajarogwa huyu.
Na wengine wanazidi kufulia vilevile.
Hawakutenda haki katika nafasi zao..
Wanachapika na nguvu ya asili.
 
Back
Top Bottom