Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,449
- 3,153
Members,
Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame)
Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela!
Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono!
Anaweza kukwepa Kodi akaitwa meza ya mazungumzo na hakaisha kisimpo tu! Kwepa Kodi kabwela uone balaa lake!
Hata hivyo ni afadhali Sheria ziwepo ili kulinda wasionacho dhidi ya wasionacho. Namaanisha kuna wasionacho wenye maguvu ya mwili! Hawa bila Sheria wangewadhulumu wasionacho wasio na maguvu!
Hawa wasionacho wenye maguvu ya mwili Kwa kuwa hawawezi kuwadhulumu wenye nacho basi watadhulumu wasionacho wenzao. Inakua kama porini.
Ikiwa unajua huna kitu ni bora kuishi low profile life kujiepusha na purukushani za dunia ya dhuluma.
Kwenye ngazi ya familia ni hivyo hivyo kuna dhuluma, wivu, chuki, husda etc. Kuna Uzi fulani wa taikon unavyoeza jinsi mandugu walivyo na wivu yaani umenunua tu ki IST mtu anataka uanguke nalo ila usife! Liharibike uteseke😀😀
Good morning