WORLD WAR 5
JF-Expert Member
- Aug 28, 2021
- 477
- 858
JF Kila mtu anasikiliza nyimbo za kizungu......
Kwanini ??!!!!
Kwanini ??!!!!
LegendaryView attachment 2196918Rip wacko jacko
Yeah popstar himselfLegendary
Wanajua kuutengeneza mzikiJF Kila mtu anasikiliza nyimbo za kizungu......
Kwanini ??!!!!
Hii album ya Miley hamna wimbo wa kuskip humo...
Daaaaaah nimepata feelings za kitambo, way back
Ha ha Jennifer aliimba sana humoLavit imebidi niusikilize huu wimbo baada ya kuona umeupostView attachment 2199135
Haha Ndio kipindi kile kabinti kabichi kabisaHa ha Jennifer aliimba sana humo