Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
400
1,004
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Screenshot 2024-03-12 110808.png
 
Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?​

Naomba kuuliza;

Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinapaswa kufanya "Maajabu" yepi?

Kwani yeye ni pawa Mabula afanye maajabu akiwa kwenye hicho cheo?
 
Unadhani angefanya ajabu zipi mkuu, ziseme kabisa hapa hapa

Hivi unadhani ukiwa na mzee wako asiyejali kuhusu familia na hawezi kuongoza vema familia, unadahani wewe kama mtoto utafanya kitu gani?

Utachukua nafasi ya mzee wako? Jaribu uone kama hutofukuzwa kwenu
 
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Haiko kwenye kundi kuu linalo tawala, usitegemee lolote kutoka kwake.
 
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Ameingilia maandamano ya Chadema
 
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Zaidi ya Maneno maneno tu na Misafara ya hapa na pale.

Usitarajie chochote.
 
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Kawekwa pale kimkakati zaidi.Unajua Sukuma Gang hawana akili wakiona mtu kutoka kanda yao kapewa cheo kisichokuwepo kikatiba wanafurahi sana kama mtoto mdogo akipewa peremende.
 
Mama kawauzia mbuzi kwenye gunia na yenyewe yakafurahiiii
 
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Amekuwa MC wa Ikulu na kuongeza gharama za uendeshaji
 
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Cheo chenyewe HAKIPO KIKATIBA pili hata MAJUKUMU ya Cheo hicho hata yeye mwenyewe HAYAJUI
 
Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?​

Naomba kuuliza;

Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinapaswa kufanya "Maajabu" yepi?

Kwani yeye ni pawa Mabula afanye maajabu akiwa kwenye hicho cheo?
Wewe unadhani alipewa hicho cheo kama sadaka bila wajibu? Kulikuwa na sababu gani kuanzisha hicho cheo na yeye kuteuliwa?
 
Wakuu kwema?

Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo?

Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea haki kweli?

Ameendeleza maajabu ya uwongo wa siku zote wa viongozi wa CCM wa kutangaza kuwa mgao wa umeme ni mwisho. Wenzake walikuwa wanaongopa wakiwa mawaziri, yeye anaongopa akiwa Naibu Waziri Mkuu. Yeye na Rais wamevunja rekodi ya uwongo kuhusiana na upatikanaji wa umeme, wakiwa watawala wa ngazi za juu kabisa, ukimwacha Majaliwa.
 
Back
Top Bottom