stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 2,366
- 2,902
Viongozi wa Juu yao... But I think mfumo wetu wa Halmashauri ni complexNani anawasimamia na kuwawajibisha?
Viongozi wa Juu yao... But I think mfumo wetu wa Halmashauri ni complexNani anawasimamia na kuwawajibisha?
Kweli, ila halmashauri, polisi, ardhi, mahakama, mafao kwa wastaafu, mifumo yote ya kiutendaji wakijua Rais wao ni mkali atawashugulikia kutakuwa na tofauti.Viongozi wa Juu yao... But I think mfumo wetu wa Halmashauri ni complex
Chadema tumeshawazoea na mawazo yenu ya kutawaliwa na wazungu. Mwenzenu Lissu kaenda kuishi kabisa, Lema karudi mpelekeni na Mbowe mnatuchosha.Tuanze kuajiri wazungu kwenye hizo nafasi tukishawatoa hao.
PINIPOINTIIna maana mheshimiwa Rais avunje tena baraza la Mawaziri!
Hapo ndo ujue system yote imeoza!1. Waziri wa Afya - out
2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out
3. Waziri wa kilimo - out
4. Waziri wa Elimu - out
5. Waziri wa Nishati - out
6. Waziri wa ardhi - out
7. IGP - OUT
8. Mkuu wa uhamiaji - out
Kuondolewa Kwa :-
6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia
7. DC na Das kote alikopitia
8. Wakuu wa mikoa na RAS kote aliko pitia
9. Makatibu wawilaya na mikoa wa CCM kote alikopitia
10. RPC NA ODC kote alikopitia.
Kweli, ila halmashauri, polisi, ardhi, mahakama, mafao kwa wastaafu, mifumo yote ya kiutendaji wakijua Rais wao ni mkali atawashugulikia kutakuwa na tofauti.
Sidhani Samia anao huo ubavu. She needs to resign herself1. Waziri wa Afya - out
2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out
3. Waziri wa kilimo - out
4. Waziri wa Elimu - out
5. Waziri wa Nishati - out
6. Waziri wa ardhi - out
7. IGP - OUT
8. Mkuu wa uhamiaji - out
Kuondolewa Kwa :-
6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia
7. DC na Das kote alikopitia
8. Wakuu wa mikoa na RAS kote aliko pitia
9. Makatibu wawilaya na mikoa wa CCM kote alikopitia
10. RPC NA ODC kote alikopitia.
UmenenaMtoto wa kizimkazi hagusikiiiii
Mlikuwa wapiiiWangekuwa wanabekwabweka mgeishia kupora uchaguzi?
Hatuna silaha za moto za kujitetea.Mlikuwa wapiii
Watoke tu na sie tukaonyeshe uwezo wetu, kwa kuwatumikia Watanzania wenzetu!1. Waziri wa Afya - out
2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out
3. Waziri wa kilimo - out
4. Waziri wa Elimu - out
5. Waziri wa Nishati - out
6. Waziri wa ardhi - out
7. IGP - OUT
8. Mkuu wa uhamiaji - out
Kuondolewa Kwa :-
6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia
7. DC na Das kote alikopitia
8. Wakuu wa mikoa na RAS kote aliko pitia
9. Makatibu wawilaya na mikoa wa CCM kote alikopitia
10. RPC NA ODC kote alikopitia.
Wote hao? Hao hao wangekuwa vizuri wakati wa JPM. Usimamizi. Tatizo ni anayewateua, anayewasimamia, mentality yake.Watoke tu na sie tukaonyeshe uwezo wetu, kwa kuwatumikia Watanzania wenzetu!
Hivi kulikuwa na sababu gani ya kuwaondoa Lukuvi upande wa ardhi na Kalemani upande wa nishati!Tatizo kubwa ni huyo Rais. Vyote vinaanzia hapo. Ukimuweka mchapakazi, mzalendo, mwenye uchungu, serious person matatizo mengi kama umeme, maji, ardhi, mfumuko wa bei yote yatapata ufumbuzi. SSH anteua wahuni na kutengua wachapakazi.
Kwaiyo Makonda hajui majukumu ya RC,DC na DED ilihali alikuwa DC na baadaye RC!Reasoning ya Makonda ni ndogo sana haiwezi kumshawishi Rais amfukuze mtu, tatizo linamhusu mkuu wa mkoa lkn yeye anamlaumu mkurugenzi, tatizo linahusu serikali kuu yeye anamlaumu mkurugenzi, mkurugezi tatizo amelikuta lkn yeye atasema kwanini usijiuzuru.
Makamanda gani nyieHatuna silaha za moto za kujitetea.
Upuuzi flani hivi, tatizo la umeme, ardhi lilihibitiwa kwa kiasi kikubwa.Hivi kulikuwa na sababu gani ya kuwaondoa Lukuvi upande wa ardhi na Kalemani upande wa nishati!
Bi.Mkubwa amechoka,apumzike!