ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,556
- 3,773
1. Waziri wa Afya - out
2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out
3. Waziri wa kilimo - out
4. Waziri wa Elimu - out
5. Waziri wa Nishati - out
6. Waziri wa ardhi - out
7. IGP - OUT
8. Mkuu wa uhamiaji - out
Kuondolewa Kwa :-
6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia
7. DC na Das kote alikopitia
8. Wakuu wa mikoa na RAS kote aliko pitia
9. Makatibu wawilaya na mikoa wa CCM kote alikopitia
10. RPC NA ODC kote alikopitia.
Tatizo kubwa ni huyo Rais. Vyote vinaanzia hapo. Ukimuweka mchapakazi, mzalendo, mwenye uchungu, serious person matatizo mengi kama umeme, maji, ardhi, mfumuko wa bei yote yatapata ufumbuzi. SSH anteua wahuni na kutengua wachapakazi.