Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,139
4,218
20231112_140228.jpg
 
Mkuu yani umenikumbusha mbali hadi machozi yamenitoka. Nimemiss kichizi hizo chapati. Maandazi pia vitumbua dagaa fresh vegetables and fruits.

Ila nyinyi 99% third world mnafaidi lakini kila siku kulalamika.

Japo sisi waoshamikundu ya wazee tunatengeneza hela ndefu ila kwenye msosi asee mmetuzidi.

ITR inamankusweke HIMARS
Oya myebusi...wanasemaje hapo Oslo??
 
Mkuu yani umenikumbusha mbali hadi machozi yamenitoka. Nimemiss kichizi hizo chapati. Maandazi pia vitumbua dagaa fresh vegetables and fruits.

Ila nyinyi 99% third world dwellers mnafaidi lakini kila siku kulalamika.

Japo sisi waoshamikundu ya wazee tunatengeneza hela ndefu ila kwenye msosi asee mmetuzidi.

ITR inamankusweke HIMARS
Hahahahaha
 
Hahaaaaaa kweli misosi ya bongo watu wa ulaya mkienda huko mnaimiss. Wananiacha hoi watu wa west kuona wao ndio wana misosi mitamu Africa.
 
Mkuu yani umenikumbusha mbali hadi machozi yamenitoka. Nimemiss kichizi hizo chapati. Maandazi pia vitumbua dagaa fresh vegetables and fruits.

Ila nyinyi 99% third world dwellers mnafaidi lakini kila siku kulalamika.

Japo sisi waoshamikundu ya wazee tunatengeneza hela ndefu ila kwenye msosi asee mmetuzidi.

ITR inamankusweke HIMARS
Tushajua upo nje vipi kuna kingine unataka kujieleza? Aliskika mtu mmoja akisema TAFUTA HELA UPUNGUZE KUJIELEZA😂😂😂
 
Mkuu yani umenikumbusha mbali hadi machozi yamenitoka. Nimemiss kichizi hizo chapati. Maandazi pia vitumbua dagaa fresh vegetables and fruits.

Ila nyinyi 99% third world dwellers mnafaidi lakini kila siku kulalamika.

Japo sisi waoshamikundu ya wazee tunatengeneza hela ndefu ila kwenye msosi asee mmetuzidi.

ITR inamankusweke HIMARS
Aisee
 
Yani Yanga ikishinda na amani inapatikana maana hawa wakianza kuchezea vichapo utasikia "Mama Samia tusaidie sisi ndio tulipigania uhuru".
 
Mashabiki wa Simba wana njaa sana, wakiona chakula wanafakamia kama Nguruwe pori
 
Mkuu yani umenikumbusha mbali hadi machozi yamenitoka. Nimemiss kichizi hizo chapati. Maandazi pia vitumbua dagaa fresh vegetables and fruits.

Ila nyinyi 99% third world dwellers mnafaidi lakini kila siku kulalamika.

Japo sisi waoshamikundu ya wazee tunatengeneza hela ndefu ila kwenye msosi asee mmetuzidi.

ITR inamankusweke HIMARS

Kwa mda niliokaa USA sidhani kama niliwahi kukumbuka chakula cha Tanzania, labda kama huna hela.
 
Back
Top Bottom