KERO Bunda: Programu ya chakula Shule ya Sekondari Mwibara ina shida

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Imeshindwa kwa sababu Chakula hakikutolewa baada ya wazazi kutokuchangia, na walimu wamewazuia wanafunzi kutokuondoka kwenda kula mpaka saa 11:30 jioni, hivyo kushinda shuleni na njaa.

Hata ule muda wa saa 8:30 masomo yanapoisha hawawaruhusu kwenda kupata chakula ili masomo ya jioni yaendelee.

Hii imepelekea wanafunzi kushinda na njaa na pia wengine kuwa watoro na kufika nyumbani usiku na mazingira sio salama; hivyo serikali ya mkoa na Wilaya waliangalie.
 
Back
Top Bottom