Eee!! ndo wapi huko!!ISHINABULANDI
Ulishafika Kilulu? Kupitia Mahaha? Nakumbuka home dah !!!Mbona Kilulu hujaitaja mkuu?
Mie wa shule ya tangaMpitimbi na Furushi la Magimbi
Huko kunamikumbusha enzi za Kina Shiganga
Ndani ya Rwamgasa
UmetishaBariadi - Mnyantuzu orijino (Somanda hospitalini pale). Mitaa yote ya Sanungu, Sima, Kidinda, Mbiti, Majahida, Ibulyu, Ngulyati, Mahaha, Old Maswa, Ngashanda, Busheni, Matale, Ng'wamapalala, Bumela, Luguru ginnery, Ikungulyabashashi, Gamboshi...Love home...
Mbona umeruka mkuu, ungeanziaMasanga tarime na mitaa yote kiagata, Ingiri juu,Ingiri chini kemakorere, nyamongo kyamasanga na nyamongo
Sent using Jamii Forums mobile app