stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,227
- 5,133
ibinzamata
Pale pale mashineni
Au kule juu karibu na stand ya manyoni
Nyamakwenke, karibu na Nyalugusu, kama unatokea Nyaluyeye, kwenye kona ya Nyangarata...
Nyamakwenke, karibu na Nyalugusu, kama unatokea Nyaluyeye, kwenye kona ya Nyangarata...
Kwanini mkuu...nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mashineni kwa mbele kias
Huu mwamdiko wako naufananisha kama nliwahi kukuona Malampaka
Ukweli mkuu, weniamini tu..cjui tu! nahis urongo
ndo mimi mkuu! nilikua nimevaaje