Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 596
- 1,180
Hao uliowataja wote sio ma genius....
Dizasta Vina na degree yake ya uhasibu katulia tuu ameshikilia Nguzo za hip-hopBlack Maradona
Sir Nature KIROBOTOOO
Yes wengi hufa hata sehem kidgo ya bongo zao hawajatumia wengi hutumia subconscious mind automated events zilizokwisha kuwa wired , ubongo ulifanya kazi ndogo sana baada ya izo events kuwa wired and copied into subconscious ubongo unakuwa umelala hauna tena kazi labda uamuwe kuamsha ,Hakuna binadamu anayeweza kutumia nusu ya uwezo wake hata nikola Tesla hakuweza kutumia nusu ya uwezo wake!
Kweli, msanii J.K. Nyerere alikuwa genius kiasi chake.Stupid ukishakuwa Philosopher automatically ni Msanii kwa Angle nyingine hasa ya Lugha, Hotuba na Uwasilishaji wa Fikra.
Wapo wengi mno ila ninaowakubali mimi na ni wasanii wa kweli ni:Kwa mimi binafsi naona
1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik
2. Leonardo wa Cheka Tu
Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering.
Kwenye interview zao utagundua wako smart wanafuatilia current issue. Na kwenye kazi zao ndo Balaa huyu wa stand up comedy yuko vizuri na Nikki yeye ni hatari.
Taja wa kwako
Hiyo diploma yenyewe kwani alimaliza sasa, alikula sapu akakimbia sijui kama alisharudi kusapua.Washabiki wa Nikki mbishi huwa ni mazezeta flan hivi
Hapo wanasema ana degree, wakati ana diploma tu tena ya chuo gan sijui mbeya huko.
Ndio wanamfanya anavimba kichwa ikiwa hamna kitu
Hapa ni ushabiki ila hamna kitu tena huyo wa mwanzo ndio kabisa sijaonaMwana FA
Alikiba
20%
Roma
Jide
Professor J
Mangwea
John makin
The list goes on...
computer science ukiwa na D mbili za PCB advance unasoma means hata three ya 15 unasoma computer science.Kwa mimi binafsi naona
1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik
2. Leonardo wa Cheka Tu
Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering.
Kwenye interview zao utagundua wako smart wanafuatilia current issue. Na kwenye kazi zao ndo Balaa huyu wa stand up comedy yuko vizuri na Nikki yeye ni hatari.
Taja wa kwako