Nisameheni

Hahahahahaha ni hapo sasa! ili kuondoa utata ni bora wote tu wakusanyiwe kodi wale wenye original figures na wale waliotumia Chinese products. Kukusanya kodi kwa Wanaume itabidi Serikali iliingize hili kwenye MKUKUTA III ili liangaliwe kwa makini zaidi.
hili linabidi lifanyiwe kazi haraka mapato yasizidi kupotea bure lol
 
hahaha..mkuu BAK mi nimeibuka na kifaa kipya kabisa hiki mkulu!

Kama ndiyo hivyo Hongera sana Mkuu :) Tunza mali zako si umeshasikia njembas zinavyommiminia miPM hivyo ukae chonjo Mkuu saa mbaya hahahahahahah
 
actuale nina moderate PM zake....kwa sheria za JF huwezi sema eti una PWD yake lakini ndo ivo LOL....
 
Haya Mkuu lakini hii hapa chini lazima ikuweke roho juu juu. Mjini hapa huwezi kujua hahahahaha Kwa maneno mengine pamoja na moderation yako bado nyingi tu ziliweza kumfikia. Chunga Kaizer Chunga! :)

nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.
 
mkulu wala usijali maji ya moto hayachomi nyumba!
 
nitatafuta nyingine nzuri,ucjali,najua unaipenda lkn kubali matokea!

Hata hii ya sasa mie naipenda sana manake inaonyesha kuwa umejaliwa mgongo, si mchezo! Si unajua tena tuyapendayo yanatuonyesha tulivyo? Hongera sana
 
Cheusi ile ya pete ya uchumba uliweka juzi ndo ingekunusuru labda......(japo naskia pete nazo ndo kivutio)
 
LOL B umesoma kiarabu, hebu chungulia ni(tu)livyomsihi airudishe hii!:D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom