Nisameheni

okay kaizer wangu,unajua jinsi nilivyo mtiifu kwako,sina nguvu za kukataa ombi lako,niliamua kuziba masikio lkn kwa vile wewe daktari wangu umeniomba niirudishe,basi naomba nikuridhishe kwa kuirudisha ili roho yako na ya wote walioomba avatar irudi itulie.
wote mtakaoingia majaribuni msiniambie mimi naomba muwasiliane na kaizer kwa malalamiko ya aina yeyote ile.
sitajibu coment yeyote ile kuhusiana na kitendo cha kuirudisha lkn kumbukeni nawapenda sana!

Huyu Kaizer...Kaizer, Kaizer...

Sijui wawatenda nini hawa wana JF waliojitupia asante zao :

The Following 5 Users Say Thank You to cheusimangala For This Useful Post: anyisile obheli (Today), Dreamliner (Today), father-xmas (Today), Mzee Mwanakijiji (Yesterday), queenkami (Yesterday)
 
ahhhh! niseme nini tena dada yangu :) watakaopata mfadhaiko watajiju...Kweli anayeomba mara nyingi maombi yake husikilizwa.
sio siri watajeijei,kwanza tukikutana nao huko mitaani tutajificha au hatutatoka ndani basi wkt mungu mwenyewe hakuona tatizo ndo mana akaumba wengine wawe hivyo!
 
sio siri watajeijei,kwanza tukikutana nao huko mitaani tutajificha au hatutatoka ndani basi wkt mungu mwenyewe hakuona tatizo ndo mana akaumba wengine wawe hivyo!

Kabisa CM, na huwa tukiwaona hao waliopewa upendeleo maalum na Muumba wetu kimaumbile basi husimama pembeni kwa madakika chungu nzima kushangaa shangaa kwa kazi ya Muumba wetu inavyovutia na kutuweka kwenye majaribu makubwa :)
 
Kabisa CM, na huwa tukiwaona hao waliopewa upendeleo maalum na Muumba wetu kimaumbile basi hunasimama pembeni kwa madakika chungu nzima kushangaa shangaa kwa kazi ya Muumba wetu inavyovutia na kutuweka kwenye majaribu makubwa :)
hahaa du!utaumwa na shingo kwa kushangaa lol!
 
Cheeeeeers!!!! Imeandikwa Ombeni nanyi mtapewa pigeni hodi nanyi mtafunguliwa lol wewe dada yangu wewe you have made my weekstart sema unataka nini as zawadi kwa kusikiliza kilio cha wengi manake hebu hii ni post ya ngapi vile!!!? Senksi for ze nidful change umezaliwa upyaaa
 
ngoja nifikirie halafu nitakwambia zawadi ninayotaka!
ila kuna post yako umeandika kule nyuma unajua umenichekesha hadi nikahisi una lengo la kuniua kwa kunivunja mbavu!lol
 
hahaa du!utaumwa na shingo kwa kushangaa lol!

Ndiyo majaribuni yenyewe hayo....:) si bora uumwe shingo tu ;) Serikali ingekuwa inakusanya kodi kwa kushangaa shangaa kwa aina hii basi tusingehitaji tena msaada toka kwa nchi wafadhili ili kufidia pengo katika bajeti yetu ;)
 
ngoja nifikirie halafu nitakwambia zawadi ninayotaka!
ila kuna post yako umeandika kule nyuma unajua umenichekesha hadi nikahisi una lengo la kuniua kwa kunivunja mbavu!lol

Ipi tena hiyo sis? wacha nichek makabrasha yangu zen I will be back asap
 
Ndiyo majaribuni yenyewe hayo....:) si bora uumwe shingo tu ;) Serikali ingekuwa inakusanya kodi kwa kushangaa shangaa kwa aina hii basi tusingehitaji tena msaada toka kwa nchi wafadhili ili kufidia pengo katika bajeti yetu ;)
yaah!nadhani saa hizi tungekuwa tunapita ktk flyoverz na usafiri wa mbagala ingekuwa huitaji kumkwida mtu ili uingie ndani ya basi.lol
 
Ha ha haa CM itakuwa ile ya kuwa some men were left with spots on their pants, si ndio eeh? we acha kuna watu wengine vinyamkera vyao viko karibu karibu na ni rahisi sana kupigwa na stroke kwa vitu kama hivi
 
rayb huwa unaniongezea umri kwa kucheka,mpaka dkk hii kuishi bila wewe itakuwa ngumu kidogo!
 
Halafu kwa taarifa tu ili nisije kukupoteza tena nimekukopi na kukuweka katika safe file na nimelock hakuna mtu wa kulokua hapo, ila usiwe na wasi sijakuweka kwenye chupa mamaa
 
rayb huwa unaniongezea umri kwa kucheka,mpaka dkk hii kuishi bila wewe itakuwa ngumu kidogo!

Thats my pleasure and if am not mistaken I was the first to applaud your avatar tulipogongana some where na nikakupa mistari kadhaa yenye vina lukuki teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom