Nisameheni

Mhh wewe acha tu kule nako kugumu kweli ila nakomaa nao maana ukiwasikiliza watakupanda mpaka kichwani!!:D
hahaa!ila kule kwako kugumu lkn unajua jinsi yakuwtuliza maana kuna siku nilikuwa siwaoni wapwa ndio nikasikia kuwa tetesi kuwa wote wanakimbilia kwako ikabidi niombe acess astakafirulah walivokuwa wametulia utadhani walikuwa wananyolewa na kiwembe chenye kutu!
 
yaah!nadhani saa hizi tungekuwa tunapita ktk flyoverz na usafiri wa mbagala ingekuwa huitaji kumkwida mtu ili uingie ndani ya basi.lol

Naam CM. Hotuba ya bajeti ya Waziri wa Fedha: "Ndugu waheshimiwa tumegundua kwamba nchi yetu tumejaliwa sana kuwa na wanawake wazuri. Tumshukuru muumba wetu kwa hilo. Sasa serikali imeona hakuna ubaya wowote ule wa kunufaika na rasilimali kubwa kama tulivyojaliwa na Mungu. Hivyo kuanzia sasa kuangalia wanawake wetu wazuri mabarabarani itakuwa unatozwa kodi ya shilingi 200 kila unapoangalia. Serikali itawamwaga Wafanyakazi wa TRA wengi sana ili kuhakikisha tunakusanya mapato mengi kadri itakavyowezekana."

Sasa njemba nao sijui watalalamika kwamba mbona nasi tunaangaliwa sana mbona Serikali haiwatozi kodi akina mama kwa kutuangalia na wale wanaharakati wanaweza kuja juu na kudai huu ni unyanyasaji wa kijinsia kwa Serikali kutaka kukusanya kodi kwa kuangaliwa na Njembas...LOL! itakuwa purukshani tupu!
 
okay kaizer wangu,unajua jinsi nilivyo mtiifu kwako,sina nguvu za kukataa ombi lako,niliamua kuziba masikio lkn kwa vile wewe daktari wangu umeniomba niirudishe,basi naomba nikuridhishe kwa kuirudisha ili roho yako na ya wote walioomba avatar irudi itulie.
wote mtakaoingia majaribuni msiniambie mimi naomba muwasiliane na kaizer kwa malalamiko ya aina yeyote ile.
sitajibu coment yeyote ile kuhusiana na kitendo cha kuirudisha lkn kumbukeni nawapenda sana!

Thanks baby,

Thats my gal......THANKS a LOT!
 
Mhh wewe acha tu kule nako kugumu kweli ila nakomaa nao maana ukiwasikiliza watakupanda mpaka kichwani!!:D

Ila na wewe nawe duh!! Yaani kama ni underground wa bongo flava umetoka kistyle ya kwako kwako na kukamata soko kichizi kiasi kwamba wadosi wanakutafuta mno wakupe matenda hao Prime Time Promotion wa Mr Kusaga ndo usiseme you have you own brand too well done keep it up
 
Thats my pleasure and if am not mistaken I was the first to applaud your avatar tulipogongana some where na nikakupa mistari kadhaa yenye vina lukuki teh teh
nayakumbuka mashari yako, siku ile nilidhani nimekutana na malenga shaaban bin robert lol.
 
Naam CM. Hotuba ya bajeti ya Waziri wa Fedha: "Ndugu waheshimiwa tumegundua kwamba nchi yetu tumejaliwa sana kuwa na wanawake wazuri. Tumshukuru muumba wetu kwa hilo. Sasa serikali imeona hakuna ubaya wowote ule wa kunufaika na rasilimali kubwa kama tulivyojaliwa na Mungu. Hivyo kuanzia sasa kuangalia wanawake wetu wazuri mabarabarani itakuwa unatozwa kodi ya shilingi 200 kila unapoangalia. Serikali itawamwaga Wafanyakazi wa TRA wengi sana ili kuhakikisha tunakusanya mapato mengi kadri itakavyowezekana."

Sasa njemba nao sijui watalalamika kwamba mbona nasi tunaangaliwa sana mbona Serikali haiwatozi kodi akina mama kwa kutuangalia na wale wanaharakati wanaweza kuja juu na kudai huu ni unyanyasaji wa kijinsia kwa Serikali kutaka kukusanya kodi kwa kuangaliwa na Njembas...LOL! itakuwa purukshani tupu!
huo mswada uko complicated kidogo,hasa ktk kipengele cha kina baba,sijui itakuwa ni kodi sawa au yetu itakuwa kubwa kidogo,na je zile za china nazo zitakuwa upande gani au zitaztozwa sawa na zile originale!lol
 
nayakumbuka mashari yako, siku ile nilidhani nimekutana na malenga shaaban bin robert lol.

Si ndo hapo sasa na kijana Pape akataka kujifanya mtu wa kati si unajua vijana wa mjini hawa. Kaizer usijali tunakumbishia enzi za utotoni za kombolela na kibaba na kimama CM nimetoka naye mbali braza teh teh

Na kuanzia leo abbreviation ya CM hapa itakuwa inamaanisha Cheusimangala kama ilivyo BAK-kwa Mkuu 'Bubu Ataka Kusema'
 
Mkuu umekula senks kwa kujali maslahi yangu.....:D

Ahsante Mkuu nilikuwa silijui hili kama hizi ni mali zako. Una jicho zuri katika kuchagua vitu vilivyotulia. Hongera sana. Ni mgeni hapa jamvini au karudi kwa jina jingine!? Maana JF nayo mhhhhh! watu wana ID nyingi tu au hupotea na kurudi upya na jina jipya.
 
huo mswada uko complicated kidogo,hasa ktk kipengele cha kina baba,sijui itakuwa ni kodi sawa au yetu itakuwa kubwa kidogo,na je zile za china nazo zitakuwa upande gani au zitaztozwa sawa na zile originale!lol

Hahahahahaha ni hapo sasa! ili kuondoa utata ni bora wote tu wakusanyiwe kodi wale wenye original figures na wale waliotumia Chinese products. Kukusanya kodi kwa Wanaume itabidi Serikali iliingize hili kwenye MKUKUTA III ili liangaliwe kwa makini zaidi.
 
Si ndo hapo sasa na kijana Pape akataka kujifanya mtu wa kati si unajua vijana wa mjini hawa. Kaizer usijali tunakumbishia enzi za utotoni za kombolela na kibaba na kimama CM nimetoka naye mbali braza teh teh

Na kuanzia leo abbreviation ya CM hapa itakuwa inamaanisha Cheusimangala kama ilivyo BAK-kwa Mkuu 'Bubu Ataka Kusema'

naukumbuka mkanda mzima,japo picha ilikua na chenga kidogo lol
 
Ahsante Mkuu nilikuwa silijui hili kama hizi ni mali zako. Una jicho zuri katika kuchagua vitu vilivyotulia. Hongera sana. Ni mgeni hapa jamvini au karudi kwa jina jingine!? Maana JF nayo mhhhhh! watu wana ID nyingi tu au hupotea na kurudi upya na jina jipya.

hahaha..mkuu BAK mi nimeibuka na kifaa kipya kabisa hiki mkulu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom