Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

Hivi wale akina mkwawa, kinjektile,na babu zetu wa miaka hiyo 1700 au 1800 na watu wa enzi hizo watakua wameenda wapi? Mbinguni au wapi?
 
Wewe huwaga ni kilaza mjinga fulani hivi ambaye huwezi kujenga hoja nje ya Quran.

Na mimi sina muda wa kubishana na wajinga kama wewe.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Kwanini unaandika uongo ? Sehemu yoyote tumejadilia mara ngapi mnakimbia ?

Tumejadilia kuhusu Logic, Falsafa mpaka Sayansi kote mmekosa hoja. Sasa usitafute kisingizio.

Hapo kwanza sijaenda kwenye Qur'an, hapo nimeenda katika mawanda ya lugha. Kwa ujinga wako unazua kwamba nimejenga hoja ndani ya Qur'an.

Sasa kama mtu hujui hoja zangu zimemili wapi, vipi uweze kujadiliana na mimi au uone kama nina hoja ?

Hili tatizo mnalo vijana ambao hamna elimu wala ufahamu.
 
Hivi wale akina mkwawa, kinjektile,na babu zetu wa miaka hiyo 1700 au 1800 na watu wa enzi hizo watakua wameenda wapi? Mbinguni au wapi?

Kina Mkwawa na Kinjeketile walikuwa Waislamu, kama walifanya mema wataenda peponi kama walifanya Shari kwa maana maovu wataenda motoni.
 
Unaweza kuthibitisha hiyo jehanamu ipo au unaleta vitisho na hofu zako?

Wewe unakubali ya kuwa Quantum Mechanics ina exist au Black Hole ipo ? Au Milky Way Galaxy ipo ? Unaithibitishaje kama ipo ? Au Viruses wapo au Wana exist tu katika Computer?

Tuanzie hapo kisha nije nikuthibitishie uwepo wa Jehanamu.
 
Kwanini unaandika uongo ? Sehemu yoyote tumejadilia mara ngapi mnakimbia ?
Wapi nimeandika uongo?

Nilikwambia uthibitishe shetani ni kitu gani?

Unaanza kuunda maswali yenye mrengo wa majibu unayotaka kuyasikia.
Tumejadilia kuhusu Logic, Falsafa mpaka Sayansi kote mmekosa hoja. Sasa usitafute kisingizio.

Hapo kwanza sijaenda kwenye Qur'an, hapo nimeenda katika mawanda ya lugha. Kwa ujinga wako unazua kwamba nimejenga hoja ndani ya Qur'an.

Sasa kama mtu hujui hoja zangu zimemili wapi, vipi uweze kujadiliana na mimi au uone kama nina hoja ?

Hili tatizo mnalo vijana ambao hamna elimu wala ufahamu.
Eleza na thibitisha shetani ni kitu gani?

Na ulijuaje yupo?

Sio kuanza kuleta stori uchwara za Quran zisizo na uthibitisho wowote ule sawa na hekaya za Abunuwasi.
 
Wapi nimeandika uongo?

Nilikwambia uthibitishe shetani ni kitu gani?

Unaanza kuunda maswali yenye mrengo wa majibu unayotaka kuyasikia.
Umeandika uongo pale uliposema kwamba hoja zangu huwa Zina mrengo wa dini na siwezi kujenga hoja ya Qur'an. Huu ni uongo wa wazi sana.
 
Kwanza unakubali ya kuwa ulikosea kuuliza swali ?
Nakwambia hivi, swali langu halina makosa yoyote yale.

Shetani ni nini?

Ukishaweka neno "nani" tayari unajua kitu hicho ni kiumbe fulani na si kitu fulani.
 
Nakwambia hivi, swali langu halina makosa yoyote yale.

Shetani ni nini?

Ukishaweka neno "nani" tayari unajua kitu hicho ni kiumbe fulani na si kitu fulani.

Kadhalika ukitumia nini ushaonyesha ni kitu kisichokuwa na uhai. Kijana unataiwa ujue kanuni za lugha. Kuna sehemu ulipatia ila kwa ujuaji wako umekosea tena.

Sasa nakusaidia kwa kitu ambacho hukijui ulitakiwa uulize ni kitu gani ? Sababu hata wewe kilugha ni kitu pia.

Kwahiyo usiminyane katika hakuna sababu bado hujui na unaendelea kukosea.

Shetani ni sifa, ambayo kwayo anaweza kuwa nayo mwanadamu au jini. Ila tamko hilo la Shetani linapotumika pweke humaanisha ni yule shetani wa kijini aliye laaniwa.
 
Back
Top Bottom