Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

Islamic religion yenyew imetokea kwenye Christianity long time ago in 7th century na ni uyo uyo mtume Mohammed alieanzsha Uislamu through reading Christianity books na binam yke and by the way Mtume Mohammed alikua mfanyabiashara kabla ya kuanzsha io dini so kuanzsha uislam was a simple idea kw sab alikua na marafki wafanya biashara kutoka Europe so akaenda Italy by that time akajifunza then akarud Mecca this days known as Saudi Arabia na ndo apo alipoanzsha Islamic religion kwa kudai kua amepata Spiritual dream kuhus uislamu....by the way izo dini zote ni man made and kuhus Christianity aisee jinsi io dini ilivoanzshwa it's a long story....MSOME VITABU JAMANI✊️

Umesoma vitabu gani, tutajie hapa.
Tuwekee ushahidi wa hili.
 
Back
Top Bottom