shukrani bossALLAAH akufanyie wepesi
Ipo vizuri sana boss, haijatumika sana. Angalia hata injini inaonekana bado mpya kabisa.Kwa nje unaonekana umeitunza sana hiyo ndinga. Ila mechanical sijui itakuwaje ila all in all kila la kheri
sawa karibu bossNgoja nimjulishe mchepuko wangu nimsikie
Niwe dereva wako pleaseNgoja nimjulishe mchepuko wangu nimsikie
2004Ya mwaka gan?
Yes bossCluger=Kruger
Kruger❌Cluger=Kruger
Sio mm yeye ndo namjulisha kama anahitaj coz anapenda sana magarNiwe dereva wako please
karibu boss.
Karibu sana bossWewe utakua dalali.
Mmiliki gani hajui hata gari lake linavyoitwa?
Boss karibu
Hapana sio dalali boss, ni typing error tu.Wewe utakua dalali.
Mmiliki gani hajui hata gari lake linavyoitwa?