Coffee table ya Milioni 3, sasa ipate kwa milioni 1 tu. Fanya haraka

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
320
524
Wakuu,

Wale watu Classic karibuni.

Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer.

Mbezi beach Africana

Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
IMG-20240410-WA0031.jpg

Aloo kumbe mimi ndo sina hela, huku kijijini kwetu, fundi mchundo anakutengenezea mzigo kama huo kwa hela isiyofika 300k, kweli huko "mujini dasalama nyie ni matajiri mno".

Bidhaa kama hiyo mnauziana milioni 3, hongereni sana.

Boss Pfizer samahani sana kama nilichoandika hapo juu kinachafua taswira ya biashara yako.
 
Wakuu,

Wale watu Classic karibuni.

Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer.

Mbezi beach Africana

Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
View attachment 2967137
View attachment 2967138
Very very very poor quality, utawapata washamba ila wanaojua vitu standard na ubora wa juu wataenda lifemate etc
 
Back
Top Bottom