Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

Hayo unayosema tayari yamefanyika kwa 65% ninachotaka kwa kutumia ID zetu hizihizi mnazozifahamu mpate kujua kuwa tupo pamoja
Haya Mimtamu, fanya haraka basi maana naona humu
kuna watu wanakuja kwa kasi kweli... Ukizubaa basi tena.
 
Last edited by a moderator:
Enzi za mwalimu uchumba ulikua hata miaka kumi hujakubaliwa bado ila kajiunga jf january mpk may ashapata mweza!!! tz bila ukimwi haiwezekani kamwe,......poleni na tamaa
 
Enzi za mwalimu uchumba ulikua hata miaka kumi hujakubaliwa bado ila kajiunga jf january mpk may ashapata mweza!!! tz bila ukimwi haiwezekani kamwe,......poleni na tamaa

Hahaha.. we ID yako ya mwisho umeisajili lini? hizo nyimbo tushazizoea. hata wewe waweza kujiunga upya ukapata marafiki wapya.. akili ya darasani changanya na yakwako.. hujui kuwa maendeleo yanaendana na mabadiliko. ngoja niwatajie sasa mwenzi wangu ndio atawajibu vizuri
 
hivi wadada wenzangu(baadhi) mbona mko desperate sana,wengine mara watongoze mabwana wa mitandaoni,wewe nawe umepata bwana badala utulie japo yeye ndo akutambulishe(kwa wazazi wake) eti wee ndo unataka kumtambulisha.(mtandaoni)
Halafu muda wote namsuiri huyo shemu ajitokeze/atoe ruhusa ya kutambulishwa holaa.
Haya hongera shosti,
 
Avator inakuzuzua eeh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom