Jipe muda, wengi walirudi na machozi...na wengine kuachana na JF kabisa!
Kwanza kabisa Hongera...,Natamani nimtaje... Nipe ruhusa yako please, nataka nikutambulishe rasmi.
Natamani nimtaje... Nipe ruhusa yako please, nataka nikutambulishe rasmi.
Kwanza kabisa Hongera...,
Kuhusu kutajana na kuombana ruhusa si mgeulizana kwanza huko mlipo kabla ya kumwaga kuku kwenye mchele kidogo ?
Hahaha.. Najua kuwa kuna private but ukiona nimeanika hapa, ujue najaribu kumuonesha how serious I am.
Hahaha.. Najua kuwa kuna private but ukiona nimeanika hapa, ujue najaribu kumuonesha how serious I am.