georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,870
Boring, nauseating,
mtajeeeeeee
Haya Mimtamu, fanya haraka basi maana naona humuHayo unayosema tayari yamefanyika kwa 65% ninachotaka kwa kutumia ID zetu hizihizi mnazozifahamu mpate kujua kuwa tupo pamoja
Jipe muda, wengi walirudi na machozi...na wengine kuachana na JF kabisa!
Igwe like this...
heheheeeee hebu nikalale mie naitwa huko chumbani.
Hahahaaaa sawa mtahiniwa lol
Mzima lakini?
Enzi za mwalimu uchumba ulikua hata miaka kumi hujakubaliwa bado ila kajiunga jf january mpk may ashapata mweza!!! tz bila ukimwi haiwezekani kamwe,......poleni na tamaa
hivi wadada wenzangu(baadhi) mbona mko desperate sana,wengine mara watongoze mabwana wa mitandaoni,wewe nawe umepata bwana badala utulie japo yeye ndo akutambulishe(kwa wazazi wake) eti wee ndo unataka kumtambulisha.(mtandaoni)
Halafu muda wote namsuiri huyo shemu ajitokeze/atoe ruhusa ya kutambulishwa holaa.
Haya hongera shosti,
heeeeh! we vipi?unasoma kilichoandikwa au unasoma unachokifikiria??