Nimeamini Maisha sio kombolela nimepata akiba 14.7ml Mwaka huu!

amshapopo

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
738
1,288
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.

Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke aliridhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
  • Watoto bado wadogo under 7.
  • Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.

FUNZO;

Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.

Update;
Now Salio la UTT linasoma 30m+ malengo ni kuendelea kuwekeza until nifike 100m hapo ndipo nahisi nitaanza kupata financial freedom.
 
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.

Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
  • Watoto bado wadogo under 7.
  • Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.

FUNZO;

Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu.
Mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Kuzikusanya sio issiue, issue ni kuzitunza ili kila ukiangalia salio halishuki, vinginevyo maisha yataendelea kubana mpaka mwisho wa safari, maana hapo watoto nao wanatakiwa kuanza kwenda shule, hapo lazima ufikirie swala la usafiri, usipoangalia utapata huo usafiri na maisha yataendelea tena kuwa magumu zaidi, maana hapo kuna mafuta, service, ulinzi n.k, kifupi mkuu usibane sana kumbuka kuwa hela huwa haijai...
 
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.

Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
  • Watoto bado wadogo under 7.
  • Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.

FUNZO;

Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Profesorial rubbish!!!!!🤣🤣🤣
 
Kazi na dawa usijinyime sana ukifa kuna fala atakuja kuchukua hizo hela na mkeo. Be smart don't be stupid
 
Back
Top Bottom