markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 846
kuku watakaotokea hawawezi kuatamiaHabari za kazi waungwana.
Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo.
Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai?
Shukrani za awali.