Punguzo la bei kwa mahitaji ya mayai ya kuku wa kienyeji(kuroiler) kwa bei poa.

Shaban Rajab

Member
Nov 1, 2017
79
29
Mr. Eggs Shop ni wauzaji wa mayai ya kuku wa kienyeji(kuroiler) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) kwa ajili ya kula na matumizi mengine na elfu kumi na tano(15,000tsh) kwa ajili ya kutotolesha. Tunapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom